kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Pre GE2025 Kigoma kuuziwa majiko banifu ya ruzuku kwa Tsh. 10,000

    KIGOMA: MAMA lishe na walengwa wa kusaidia kaya masikini Manispaa ya Kigoma Ujiji wanatarajia kunufaika na ugawaji wa majiko banifu yaliyogaiwa na Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) kuhamasisha matumizi ya nishati safi na utunzaji mazingira Makundi hayo yatanufaika na ruzuku ya 80% ya majiko...
  2. T

    Pre GE2025 Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi wa Kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii wilayani humo. Makamu wa Rais amesema hayo alipotembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kahimba...
  3. Pre GE2025 Kijana wa Kigoma achora tattoo ya sura ya Waziri Mkuu, Majaliwa kifuani mwake

    Wakuu Costa Boy amesema hana mpango wa kuifuta tattoo aliyochora kwa upendo wake kwa Waziri Mkuu Majaliwa == Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa? Kijana mmoja maarufu kama Costa Boy, kutoka Kigoma ameibua...
  4. THBUB yapokea Malalamiko ya uvunjwaji wa haki na ukiukwaji ya misingi ya utawala bora Kigoma

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea malalamiko ya uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora kwa mkoa wa Kigoma. Malalamiko hayo yamewasilishwa na wananchi wakati wa Mkutano wa hadhara wenye lengo la kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya...
  5. THBUB kutoa elimu kuhusu Misingi ya Haki na Utawala Bora kwa wananchi Kigoma

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kigoma kwa lengo la kuwawezesha Wananchi kutambua haki zao na kudumisha Utawala unaozingatia haki za...
  6. RC Kigoma afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo, asema barabara za vumbi zitasahaulika kuelekea Tabora

    Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa mkandarasi yeyote atakayekiuka makubaliano ya mkataba na kukwamisha miradi hiyo. Kauli hiyo imetolewa...
  7. Pre GE2025 Madiwani Kigoma ujiji walalama miradi ya maendeleo kukwama hivyo kuonekana hawajatimiza wajibu wao, waishutumu TAMISEMI wakitaka uchunguzi ufanyike

    Wananchi na madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamekataa kuendelea na mkandarasi anayejenga Soko Kuu la Mwanga na Soko la Samaki katika Mwalo wa Katonga, wakidai ameshindwa kutekeleza mradi kwa wakati na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara waliokosa maeneo ya kufanyia...
  8. L

    DOKEZO Kero: Madarasa katika Shule Teule ya Sekondari Kigoma Ujiji yanavuja, ni kero kubwa kwa Walimu na Wanafunzi

    Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida Wanafunzi. Wakati mvua zinaponyesha kunakosekana utulivu wa kusoma kwakuwa kila mahali panakuwa panavuja...
  9. Kata ya Kibilizi -Kigoma. Mslac inatoa msaada wa kishera,waziri wa k/s na timu ya wanasheria

    Serikali inayofanya kazi https://www.youtube.com/live/yosk_mQCWz4?si=iszIUWOsKRLtKyqz
  10. Uzuri wa treni ya ordinary from Dar to Kigoma

    awali ya yote niwapongeze Sana TRC kwa kukarabati treni zile za zamani hasa kwa upande wa mabehewa. Mimi nasafiri Sana na hizi treni zote ,yaani deluxe na ordinary. Treni ya ordinary ambayo ndiyo ya zamani kimabehewa Mimi kwangu ni the best treni . Sababu kuu ni hizi . 1. Imekarabatiwa kukidhi...
  11. Kigoma:- CHADEMA Watamchagua TAL ila watadumu kuthamini mchango wa FAM

    Team, Salaàm! Mimi ni mtafiti mbobezi. Nimefanya hojaji na wanacdm wasiopungua 21 * 19 wamesema wanapenda TAL awe Mwenyekiti wao mpya; * 01 amesema yeyote atakayechaguli kati ya wagombea watatu; * 01 wagombea wote hawafai kwa kuwa kwa miaka takribani 5 inayoisha kulikuwa na migogoro mingi...
  12. Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
  13. A Safe Haven for Dreams: A story of Fendi from Kigoma

    In 2022, Fendi (pseudo name) a young girl from Kigoma faced a life-altering challenge. After sitting for her Mock exams, a practice test before the form IV national exams, she discovered she was pregnant. The news led to her dismissal from school, and she returned home. Soon after, she suffered...
  14. Natafuta Kitanda cha Laki moja Kigoma

    Wana kigoma mjini msije kusema siwapi madili
  15. L

    KERO TARURA Kigoma mnatia aibu na kuudhi Barabara ya Gungu mpaka njia panda ya Kigoma ma Ujiji ni kituko kwa Mkoa na Taifa kwa ujumla

    Nimebahatika kufika Kigoma siku tatu zilizopita. Nimeshindwa kuvumilia kituko cha barabara kutoka Gungu kwenda mpaka njia panda ya Kigoma mjini na Ujiji. Lakini pia Kituko cha barabara ya Kigoma to Ujiji. Swali langu: Ivi huo mtaro ulio katikati ya barabara mbili una kazi gani? hamuoni kama...
  16. Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

    Baada ya kufika Kigoma nikakaa siku kama ya 3 hivi nikasema niende mjini , nikaenda barabarani Buzebazeba ( ndo nilipofikia), ilikuwa jioni , nikagundua kumbe 1. Kigoma hakuna foleni barabarani. 2. Hakukuwa na dalalada za mjini kama huku Bali Kuna vibajaji. Basi nikapanda kibajaji , njiani...
  17. Kigoma: Polisi wafafanua kukamatwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA, wamesema wamekamata wahalifu

    Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria.
  18. S

    Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
  19. S

    Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  20. Kigoma: Zaidi ya mita 300 za maji zaibiwa. Wezi wasakwa

    Hivi Wakuu! Hizi mita za maji zinazoibiwa si dili za watu kadhaa kutoka kwenye mamlaka husika jamani, maana wizi huu umetawala sana. ====== Zaidi ya mita 300 za maji zimeripotiwa kuibwa katika kipindi cha mwaka mmoja mkoani Kigoma. Mkuu wa mkoa huo, Thobias Andengenye ameitaka Mamlaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…