Katibu Tawala Msaidizi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mkoani Dodoma, Vincent B. Kayombo, amefungua mafunzo ya siku mbili kwa walimu wa Kiingereza na Hisabati katika wilaya ya Kondoa. Mafunzo haya yameandaliwa kwa ushirikiano na Mradi wa Shule Bora, unaolenga kuboresha elimu nchini.
Kayombo...
Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi...
Habari zenu wakuu?
Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills.
Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway...
Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa nawashangaa sana Watanzania tunaacha Kujivunia lugha yetu adhimu na pendwa Afrika na Duniani kwa sasa ya...
Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15.
Bidhaa za marekani ambazo china zimeongeza teriffs hadi asilimia 15 ni sorghum (ulezi), soybeans, pork (kiti moto), beef...
Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu wake wanamsifia na kusema kuwa ni Faida ya Shule za Kata CCM hakujifunzia Shuleni hapo japo alikiri...
Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
Kwema wakuu?
Nina hitaji Muongozo wa katiba ya NGO ambayo ni English version. Online site ya board ya NGOs iko suspended. Mwenye kuwa nayo ninaomba anisaidie.
Asanteni.
Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni.
Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni fursa ya kujitangaza na kujijengea heshima.
Tuchangamke wabongo.
Na kesho ndiyo itakuwa aibu kama...
Nataka nikujuze kuwa serikali sikivu na utendaji. Imeanzisha shule za msingi zinazotumia lugha ya Kiingereza kufundishia na hata wanafunzi wake wanazungumza kiingereza bila kubabaika.
Aloo. Tembelea siku moja shule hizi au mpeleke mwanao ukafaidi matunda ya nchi yako.
Je, unazijua ENGLISH...
Habari wakuu.
Kuna jambo nataka kufanya kuhusu lugha ya kichaga.
Naomba kama humu jamvini kuna mwalimu wa sarufi ya Kiswahili na Kiingereza kwa ngazi ya kidato cha nne tuwasiliane tuone tunaanzia wapi. Natanguliza shukrani.
Hata kwa yeyote atakayesoma uzi huu na anamjua mwalimu yeyote...
Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi (Teaching / Tutorial Assistant) na kusema pia kuwa una Exposure Kubwa na hata huko Ulaya / Marekani...
Wakuu
Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi.
Ndugu zangu watz, niko pamoja nanyi kwenye kipindi hiki kigumu tukiendelea cha kuomboleza ndugu zetu waliofukiwa na jengo huko Kariakoo. Poleni watu wote mliofiwa, mlionusurika na majeruhi. Kwa kweli nafurahishwa daima na umoja ambao daima unaonekana wakati wa majanga kama haya.
Nirudi kwenye...
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake...
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi.
Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi...
chama
chama cha upinzani
chama kikuu cha upinzani
conservative party
historia
kemi badonech
kiingereza
kiongozi
kuongoza
kwanza
mdada
mpya
mwafrika
nigeria
party
wake
wazazi
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi...
Hili jini sijui kwanini lisipande kwa viongozi wetu wanapokuwa kwenye mikutano ya kimataifa ili kuwasaidia kuongea na kusoma mikataba ya kimataifa inayoandikwa kwa Kiingereza hivyo wanasaini bila kujua na kuiingiza nchi yetu kwenye mikataba ya hovyo.😀😀😀
Jini hili la mzee wa Buza linaitwa RAS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.