kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Sasa Kiingereza kitakuwa na kazi gani?

    Naona tayari michakato ya sheria iko jikoni mahakama kuanza kutumia Kiswahili mwanzo mwisho tofauti na sasa ambapo dokomenti zote huwa za kiingereza sasa baada ya sheria hii hakimu au mwanasheria yeyote itamlazimu atumie lugha ya kiswahili ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa upande...
  2. Sky Eclat

    Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

    “Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza, lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo...
  3. JOESKY

    Kiingereza ni lugha Universal

    Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
  4. M

    Mtalii wa Kiingereza afurahia kutokuwepo "usumbufu sumbufu" wa kujikinga na Corona Tanzania

    Mtalii mmoja raia wa Uingereza, amejirekodi video akifurahia utalii huko Zanzibar. Katika video hiyo ameonyesha kufurahia uhuru mkubwa alioupata huku Tanzania baada ya kuondoka Uingereza mwanzoni mwa mwezi January mwaka huu na Kuja Tanzania. Mtalii huyo anasema huku Tanzania hakuna cha social...
  5. eliakeem

    Tuliwaambieni siyo kila mmoja anasujudia Kiingereza kama ninyi. Oneni EU wanachofanya baada ya BrExit

    Kwa wale waumini wa kiingereza, tuliwaambieni ya kuwa siyo kila mmoja anakiabudu hiki kilugha cha Malkia kama Wakenya mnavyodhani. Pia ikumbukwe, kwa Wakenya wote, siyo kila mzungu mweupe anajua Kiingereza. Kuna idadi kubwa sana ya wazungu ambao Kiingereza kwao wala siyo kitu. Ndiyo maana sasa...
  6. Mparee2

    Mabadiliko ya sheria/taratibu zinazo husu wageni - iwepo nakala ya Kiingereza

    Nilishatoa hili sijui mwaka juzi...narusia tena HILI LINAWAHUSU ZAIDI WIZARA YA UTALII, WIZARA YA AFYA, PAMOJA NA UHAMIAJI Napendekeza kila tangazo linalotolewa liwe kwa Lugha mbili; Yaani Kiswahili na Kiingereza I weje tangazo linalo wahusu watalii kwa asilimia 80% likose nakala ya...
  7. K

    Wakabaji wanaoongea kiingereza

    Tatizo la ajira linaweza kuwa bomu kubwa zaidi ya vile tulivyodhani. Wasomi wengi wamegeuka wakabaji kwa kujua au kutokujua. Watanzania wengi wanaibiwa kwa mijadala ya kiingereza. Imeibuka stail ya akina Mangungo, unaletewa makaratasi yameandikwa kizungu unatia sign kuonyesha Kama nawe umesoma...
  8. figganigga

    Tujifunze Kiingereza na Kiswahili hapa

    A - a -a prep. of. -a baridi adj. cold. abiria n. passenger. -abudu v. worship; adore. -a bure adj. free. -acha v. cease; allow; leave; let go; abandon. -achana v. leave each other. -achia v. leave to / for. ada n. fee. adabu n. good manners. adhabu n. punishment; penalty...
Back
Top Bottom