Huyu kijana alikuwa kama na miaka 20 hivi, ilikuwa mwaka 2005 alikuja kumtembelea baba yake, ni mchanganyiko baba wa kichaga, Mama mjerumani, Nyumbani kwao sinza Dar es Salaam,huku baba yake alikuwa anafanya kazi kama bingwa wa magojwa ya kina mama akilipwa Dola alfu 5 kwa mwezi si haba kipindi...