kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

    Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu. Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
  2. M

    Ukiwa kijana usikubali kuishi kijijini

    Nimepita vijiji vingi vya Tanzania , Zambia, Zimbabwe, Malawi, Msumbiji na South Africa hii, Kuna vitu vinafanana sana kasoro vijiji vya South Africa ( baadhi sio vyote ) vimechangamka na kuweeza kusuport kuishi na kuongezeka kimaisha, Ila vijiji vingi vina matatizo ambayo hata wewe ukiamua...
  3. Kwanini ukipanda ama Basi au Gari linaloendeshwa na Mzee unakuwa na Amani na Safari yako kuliko ukipanda ambalo anaendesha Kijana?

    Halafu niwaombe mno Wazee mnaoendesha Magari / Mabasi hebu pangeni Siku muwe mnatoa Elimu kwa Vijana Ok?
  4. Kijana baada ya kumaliza masomo yako mjini ni wakati wa kurudi nyumbani kijijini, wazazi wako wanakungoja

    Wazazi wa vijana wengi wa leo wanafanya maombi na kuwaombea vijana wao sana kila lililo jema wafanikiwe katika maisha yao, hakuna mzazi alie nyuma kwenye hili kwasababu mambo yamebadilika sana sasahivi... Lakini vijana wengi wamedinda kabisa kurudi nyumba vijijini kwao, licha yakua...
  5. Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
  6. Kijana wa leo: Kuwa na pesa ama kutokua na pesa isiwe kipimo cha mapenzi/upendo.

    Ebu skilizeni niwaambie kabla sijalewa..... Mwanangu: Usije ukadanganywa na ukakubali kwamba pesa zako ndio ishara ya upendo wa kweli. Binti zangu skilizeni.... Mwanaume akikununulia gari, nyumba or any goods haimaanishi kwamba huo ni upendo kwako. Yawezekana Mudi amepata pesa ya urithi na...
  7. E

    Anahitajika kijana wa kusambaza Viazi vitamu na Magimbi

    Salaam, Ninao wateja wa uhakika kwa baadhi ya hotel za hapa D'salaam na makazi ya watu(apartiments nyingi) Anatafutwa mpeleka mzigo kwa baadhi ya ofisi pale mtaa wa Nkurumah( Aura tower, Rissa tower....etc) na jengo la TPA posta. Anitafute PM, kwa mawasiliano. Pia kwa wanaohitaji mzigo kwa...
  8. Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

    Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto? We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni? Mwanaume mwenzangu, take your time choosing...
  9. Mzee wa Upako: Inawezekanaje kijana kuandika "Siikubali CCM" anatekwa? watekwe wanaokula viapo na kuvivunja

    Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Centel (GRC), Antony Lusekelo amehoji Matukio ya Watu kutekwa kutokana na kutoa maoni yao kuhusu Serikali na kueleza kuwa wanaofanya Vitendo hivyo wanatakiwa kufuata Sheria. Lusekelo maarufu 'Mzee wa Upako', amesema "Inawezekanaje leo Kijana kuandika...
  10. Kijana adaiwa kufariki akijichua

    Kijana afia kwenye nyeto
  11. Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka

    Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia wasiojiweza hichi ndio anachokitafuta ushawah kujiuliza kwanini Kuna watu kila wanachoanzisha kinafanikiwa...
  12. Kijana mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa anatafuta kazi Dar es Salaam

    Habari JF, Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako? Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam Makazi ya kijana huyu...
  13. Kwa kijana anayejitafuta kwa sasa ni bora ufugaji kuliko kilimo au biashara

    1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua 2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba 3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea, nguvu kazi, chakula na bei yake haishuki daima hupanda mfano kuku bei ya 15000-20000 imedumu kwa miaka...
  14. O

    Kusaulika kwa nafasi ya Kijana Mvulana katika jamii

    Habari zenu wanajukwaa Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kwa kipindi cha hivi karibuni jamii imemuwezesha sana mtoto wa kike na kumsahau kabisa mtoto wa kiume je sisi kma jamii tunafanyeje kumsaidia huyu kijana wa kiume aliyesahaulika. Na kwa sasa hivi hata nyinyi wazazi mtakuwa mashuhuda...
  15. Ushauri kwa kijana

    Leo tuifanye hii thread iwe ya moto. Ni ushauri upi wa muhimu unao mpa kijana wa kitanzania siku ya leo ili aweze kuyabili maisha vema?
  16. M

    Feisal Salum nakusalimia Kijana wangu. Habari za Kigali

    Nasikia ulijiapiza kuwa ligi ya mabingwa Caf kuwa unataka uwaonyeshe Simba na Yanga mpira unavyochezwa. PIA SOMA - News Alert: - FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  17. FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

    Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana. Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...
  18. Tumpe hitimisho gani kijana huyu

    Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani kijana huyu.
  19. Mkuu wa Wilaya Busega atoa pole kwa familia iliyompoteza kijana wao katika maandamano

    Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim ameta pole kwa familia ya Mzee Daudi ambayo imempoteza mtoto wao, Meshaki Daudi aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati wa Maadamano yalitotokea maeneo ya Lamadi, Agosti 21, 2024 Mkoani Simiyu.
  20. Huwa najiuliza sana tu kama Mzee Mpili akiwa Mzee hivi anaonekana ni Mtata, je, enzi zake akiwa Kijana alikuwaje?

    Ni Mzee ambaye pamoja na kuwa ni mwana Yanga SC na Mimi kuwa mwana Simba SC ila huwa ananichekesha mno.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…