kijani

Kijani (Serbian Cyrillic: Кијани) is a village in Croatia.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubunifu: urembo wa kijani kutani

  2. R

    Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  3. R

    Ikitokea kijani kinakuwa chama Cha upinzani 2025, magereza yatatosha?

    Hellow Tanganyika, Nchi yetu Ina mfumo wa vyama vingi vya siasa, Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, na ikitokea Watanzania wakaamua kuipa CHADEMA kuongoza Nchi kutokana na udhaifu au kutokubalika Kwa mgombea KITI kikubwa wa chama Cha kijani, je magereza haya yatatosha? Na ikiwa yatatosha, je...
  4. Kuelekea Mkutano Mkuu maalum wa CCM, Dodoma yageuka kuwa kijani tupu

    Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
  5. Wanakaribia kuzikwa, kijani anawasubiria tu

    Hii katuni inasadifu wanakoelekea, inasikitisha sana.
  6. Siku Zote Majani Huwa Ya Kijani Katika Bustani Ya Jirani

    Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake Anasema mume wake kila baada ya wiki mbili hununua vyakula vyote vya ndani,na kisha kila siku huacha shilingi elfu saba...
  7. Siku Zote Majani Huwa Ya Kijani Katika Bustani Ya Jirani

    Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake Anasema mume wake kila baada ya wiki mbili hununua vyakula vyote vya ndani,na kisha kila siku huacha shilingi elfu saba...
  8. J

    ❇️NEMBO (LOGO) RASMI YA UVCCM KIJANI AWARDS NA UVCCM ALUMNI FORUM!

    ❇️NEMBO (LOGO) RASMI YA UVCCM KIJANI AWARDS NA UVCCM ALUMNI FORUM! Tunaweka msingi wa kuwatambua vijana walio mstari wa mbele katika kufanikisha maono ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mustakabali wa Taifa letu. Hii inatufundisha kuwa kila kijana ana nafasi ya kuleta mabadiliko chanya katika...
  9. Pre GE2025 Je, Tundu Lissu atawashinda kijani wanaovaa magwanda? Ni kipi tunaweza shauri au fanya wapenda mabadiliko kumsaidia?

    Kuna wavaa magwanda wa miaka mingi sana lakini ndani ni wa kijani na wanafanya kazi kwa faida ya kijani Je kijani halisi na kijana wavaa magwanda wataruhusu TL awe Mwenyekiti? Je tumshauri au nini tunaweza fanya nini wapenda mabadiliko?
  10. F

    Kuna ukwaju wa gamba la kijani na ule wa gamba la kahawia

    Jevwewe unaupenda upi?
  11. Mwenyekiti UVCCM, Mohammed Kawaida: Tumedhamiria tunazima zote tunawasha kijani

    TUMEDHAMIRIA TUNAZIMA ZOTE TUNAWASHA KIJANI 📍16 Oktoba, 2024 Kagera Kwenye mkutano wa hadhara ambao wenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ndio mgeni rasmi ambapo katika mkutano huo waliokuwa viongozi wa CHADEMA ngazi ya Mkoa na kiongozi wa Vijana wa...
  12. E

    Dhana ya wananchi kujilinda (Taa ya kijani)

    0000
  13. Shairi: Tanzania imebadilka tuna imani na mama lakini ccm sijui kama tutaipigia kura kijani

    We Mama Njoo Njoo Uone Nchi Ilivyobadilika Tanzania Ya Leo Oooh! Imejengwa Imejengeka Pita Ubungo Tazara Za Juu Barabara Tayari Zinatumika Reli Yenye Viwango Bora Standard Gage Karibu Inakamilikaa! Tanzania Ya Sasa Mama Aii Mama! Ya Magufuli Mama Aii Mama! Ina Wakawaka Mama Aii Mama! Inapendeza...
  14. Bilioni 12 Kutumika Kukijanisha Jiji la Dodoma

    Serikali imesema kiasi cha shilingi Bilioni 12 kitatumika katika utekelezaji wa mradi wa kukijanisha jjiji la Dodoma ikiwemo kupanda miti na maua katika hifadhi za Barabara ili kutunza mazingira na kupendezesha mandhari ya jiji hilo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa Juni...
  15. N

    SoC04 Tanzania ya Kijani inawezekana, yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira

    Tanzania ya Kijani inawezekana Yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira: Tanzania ina ukubwa wa takribani Km za mraba 945,087. Ni moja ya nchii liyojaliwa kwa ukubwa ardhi yenye rasilimali nyingi, maliasili na hifadhi nyingi za wanyama, misitu, maziwa na maeneo asili ambayo yote...
  16. Mbona hakuna magari ya rangi ya kijani au njano umewahi kuona Harrier ya kijani?

    Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
  17. Uzalishaji mkubwa wa hewa ya ukaa (Carbon dioxide) utafanya dunia iwe kijani zaidi?

    Eti wataalamu. Sehemu kubwa ya mmea inaundwa kwa Carbon dioxide na maji. Kwa kawaida kiasi cha carbon dioxide hewani ni asilimia 0.04 tu. Je kuongezeka kwa Carbon Dioxide hewani kutafanya mimea izalishwe kwa wingi zaidi?
  18. Bidhaa za kijani za China zata wateja wengi wa nchi za nje katika Maonesho ya Canton

    “Wafanyabiashara wanashughulika na biashara, huku wanasiasa wakishughulika na siasa.” Katika Maonyesho ya 135 ya Canton, yaliyofunguliwa wiki hii, mwagizaji wa Marekani Steven Selikoff alipozungumzia kauli ya Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ambaye amemaliza ziara yake nchini China hivi...
  19. M

    Salamu kwako Rais, wakatae wanaokuroga kwa maneno na rangi ya kijani

    Habari ya Jumamosi. Ninayoheshima kubwa kukuandikia mama kukuambiatu kwa ufupi sana. Mama wewe haya yanayofanyika unayaona na unajua mengi kuliko sisi raiya wako. Hilo lipo wazi Ninachoweza kukuambia hao watendaji wako ambao wengine niwabadhirifu wengine ni wazembe wanakuloga sana. Uchawi...
  20. Makamu wa Rais Philip Mpango kwanini Ofisi yako inashindwa kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti msimu huu wa mvua?

    Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti. Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…