kijani

Kijani (Serbian Cyrillic: Кијани) is a village in Croatia.

View More On Wikipedia.org
  1. Kifurukutu

    Ni nani aliyempa Rais pongezi na tahadhari ya kupingwa na kijani

    Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole. Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni kijani mwenzako Je mtu huyo ni nani aliyempa Rais taarifa hii ambayo kwa sasa inajidhihiri? Ni...
  2. MTV MBONGO

    Naomba kujuzwa, maamuzi yapi sahihi nikikutana na hali hii barabarani?

    Naomba kujuzwa: kuna Kivuko (Zebra) na taa za kuongoza magari. Je, Ikiwaka taa ya kijani, NISIVUKE, NIWASUBIRI WATU WAVUKE? AU WAO WANISUBIRI MIMI? Niwapo barabarani huwa Najiuliza Sana juu ya hili, mwenye ujuzi WA uhakika, ANISAIDIE.
  3. Sky Eclat

    Umuhimu wa mimea ya kijani karibu na unapoishi hasa unapolala

    Mimea inasaidia kuleta hewa safi tunayoihitaji kwa afya zetu. Uharibifu wa mazingira unaongezeka hasa mijini. Hii picha inaonyesha unavyoweza kujiongeza na kupata hewa safi hasa wakati ukiwa umepumzika.
  4. C

    Twiga kwenye jezi ya Yanga atakuwa mweusi mlima wa kijani

    Haya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni mbaaya kishenzi hadi ina mabondia na wacheza netball hay bwana kikao kimekaa jana na NBC wamekubaliana...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mapinduzi ya Kijani barani Afrika (Africa Green Revolution Forum)

    📌 MAPINDUZI YA KIJANI BARANI AFRICA. (Africa Green Revolution Forum) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameshiriki kwa njia ya mtandao Mkutano wa Mapinduzi ya kijani Barani Afrika (Africa Green Revolution Forum) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  6. Nigrastratatract nerve

    Buhigwe ya kijani #kazi iendelee

  7. W

    Ifahamu Dhahabu ya Kijani (GREEN GOLD) Itakayokuza Uchumi wa Wakulima wa Tanzania

    Dhahabu ya Kijani (Green Gold) ni zao linalostawi vizuri katika maeneo yenye milima zenye mvua nyingi angalau nusu mwaka. Afrika mashariki linastawi vizuri katika nchi za Tanzania, Uganda Burundi na Rwanda zina utajiri mkubwa kutokana na ardhi yake kukubali kustawi kwa wingi Matunda ya...
Back
Top Bottom