Hakika lilikuwa taifa la kushangaza, ilikuwa ni nchi ya kuvutia macho na kupendea kwa kutazamwa kwa macho. Ilikuwa ni sehemu ambayo yeyote angependa kuitembelea, eneo lenye mapori ya kipekee, misitu minene, na savana yenye wanyama wengi mno. Mwenyezi Mungu ali iipendelea kwa kuimwagilia kwa mvua...