Je wewe ni muhanga wa ufuatiliaji (SURVEILLANCE)? Ikiwa wewe ni mtu ambaye unafuatiliwa na wahalifu au watu wengine kutokana na shughuli zake ziwe za kisiasa, kibiashara na hata kimahusiano basi njia hizi nitakazozielezea hapa ukizifuata na kuziishi zinaweza kukufanya uwe salama ikiwa upo under...
Mashirika mengi ya kijasusi yanakaulimbiu zao "nzito nzito" Shirika letu kaulimbiu yao inasemaje? Kaulimbiu inaweza athiri utendaji kazi wa watu?
1. Kaulimbiu ya TISS...
2. Kaulimbiu ya CIA.
"The Work of a Nation. The Center of Intelligence."
Unofficial motto: "And ye shall know the truth...
Kijana Jack Teixeira akielekezwa kwenda kwenye gari ya maofisa wa SWAT kutoka FBI. Picha na CNN
Jack Teixeira kijana mwenye umri wa miaka 21 ambae ni mwanajeshi katika jeshi la anga la Air National Guad ambalo lipo katika mji wa Masachusetts.
Kijana huyo tayari yupo mikononi mwa FBI na...
Wanajamvi habari za muda huu.
Wanaume wenzangu tuwe makini sana kuna aina mpya ya ujasusi unaendelea yan binti anakutambulisha hadi kwa mama yake kumbe wana lao jambo ili wakuaminishe na uchunwe zaidi ukiwa huna hofu yyt. Na kumbe behind the scenes mko zaidi ya watatu na wote mmetambulishwa kwa...
THE MODERN WAR
(Vita ya kisasa)
Sehemu ya.........01
Mtunzi: Saul David
WhatsApp: 0756862047
UTANGULIZI
Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu...
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu...
Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU
Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha
Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk
Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
SASHA MLINZI WA NAFSI.
Sehemu ya............1-2
Mtunzi: Saul David
WhatsApp: 0756862047
UTANGULIZI...
Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya jangwa moja kubwa. Upepo mkali ulikuwa ukivuma kiasi cha kusababisha vumbe jingi kutanda hewani hali...
Ni uchokozi ama ni nini?!
=============
Habari za puto la kijasusi la China kuelea juu ya Marekani zimewaacha wengi wakishangaa kwa nini Beijing ingetaka kutumia chombo kisichokuwa cha kisasa katika uchunguzi wake wa eneo la Marekani.
Uwezo wa puto hili hauko wazi, lakini wataalam wanasema...
Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao!
Kwa haya yanayoendelea kubainika kuhusu utawala wa Rwanda ambayo sio mazuri kidiplomasia, lakini mimi yananidhihirishia kwamba nguvu na...
Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe angalau zimechezwa kuanzia mwaka 2005-2022...
Nikipata za kichina itapendeza zaidi mana wale jamaa...
Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limemtaja gaidi namba 1 wa shambulizi la kigaidi lililofanywa na Ukraine kulipua daraja la Crimea. Gaidi huyo mkuu ni mkuu wa shirika la upelelezi la Ukraine Commander Kirill Budanov.
Sambamba na gaidi huyo mkuu (mastermind), pia FSB imewataja watuhumiwa...
Simulizi; MLANGO WA 77 "DOOR 77"
Mtunzi; Robert Heriel
Taikon Publishers
0693322300
EPISODE 01.
Mvumo wa sauti za chura uliendelea kuvuma kama kwaya ya Akapella huku masalia ya matone ya mvua yakiendelea kudondoka kidogokidogo mithili ya nyuzi nyembamba za pamba, yajulikanayo kama Manyunyu...
Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu....
FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin...
RIWAYA: MLIO WA RISASI HARUSINI
Mtunzi: Robert Heriel
WhatsApp 0693322300
Akajitazama kwenye kioo kikubwa cha kabati akiwa chumbani kwake. Kila alipojitazama hakuona kasoro yoyote katika mwili wake. Aligeuka huku na huku akiendelea kujitazama. Macho yake yalimuambia yeye ni...
Mambo ni Moto
Katika sakata linaloendelea linalomkabili Ndugu Lengai Ole Sabaya, utetezi wake unaacha watu midomo wazi.
Mimi sio mwanasheria lakini Kwa akili ndogo tuu niliyonayo namuona Ole Sabaya na mawakili wake wakishindwa kutoa utetezi wenye mantiki.
Utetezi wa Sabaya kuwa alitumwa na...
BAY OF PIGS Vs COLD WAR: MAREKANI, CUBA NA USSR, ULIMWENGU KIGANJANI MWA CIA, CRF NA KGB; NA AIBU YA DUNIA KWENYE ULINGO WA KIJASUSI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu(CMCA)
Wednesday-16/06/2021
Kilimanjaro National Park, Marangu Kilimanjaro Tanzania.
Kwenye jengo la Pentagon ghorofa ya pili upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.