Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe angalau zimechezwa kuanzia mwaka 2005-2022...
Nikipata za kichina itapendeza zaidi mana wale jamaa...