Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa elimu baada ya kuzindua Mradi wa Kijiji Changu (My Village) Agosti 11, 2026.
NJOMBE, Agosti 11, 2026. Shirika la Uwezo Tanzania imezindua rasmi awamu ya nne ya Mradi wa Kijiji Changu (My Village)...