Mimi ni mwanakijiji kutoka kijiji kile kilicho staarabika, naam ndio ustaarabu huu ambao vijiji vingi kama si vyote juu ya ardhi hii ya ulimwengu huutumia, nakiri kwamba kijiji nitokacho husifiwa kuwa na watu wakarimu na wachukiao shari, kwao vita na malumbano ni jambo la kihistoria, lilitokea...