kijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Atlast nimempata

    Pot ya watoto wa kijijini! Shikamoo akina mama!

    Mliozaliwa mjini, hapo mtoto anafanya nini? Malezi ni yaleyale tu! Tukutane shelli! 😀
  2. Waufukweni

    Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
  3. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya...
  4. T

    Wanandoa wa zamani walikuwa wanaonyeshwa kamba tu ya mkonge ukumbini. Ng'ombe wa Zawadi yupo kijijini....

    Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi. Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
  5. Stephano Mgendanyi

    Sekondari Mpya ya Kijijini Butata Yakaribia Kufunguliwa

    SEKONDARI MPYA YA KIJIJINI BUTATA YAKARIBIA KUFUNGULIWA Serikali yetu inajenga sekondari mpya tatu (3) ndani ya Jimbo letu la Musoma Vijijini, na kila ujenzi/mradi umepewa Tsh milioni 584 (Tsh 584m) Sekondari hizo mpya zinajengwa: (i) Kijijini Butata, Kata ya Bukima (sekondari ya pili ya kata...
  6. Braza Kede

    Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
  7. Stephano Mgendanyi

    Sekondari Mpya Kijijini Muhoji: Wazazi Waamua Kutoa Chakula cha Mchana kwa Watoto Wao

    SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
  8. Poppy Hatonn

    Mtu auawa kijijini Kenya kwa tuhuma ya kumtaka mke wa mwingine.

    Hizi habari za siku sita zilizopita. Imetokea Mfukoni location,sub section Kinoru. Huyu mtu Musanga amemkata shingo Bwana Muthomi kwa kuthubutu kumfuata mke wake Linat Karemi. Amemkata shingo mpaka kichwa kikawa kinaning'inia tu. Sasa,I don't want to discuss the adultery. I just want to discuss...
  9. nipo online

    Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

    Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri, Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie...
  10. Frustration

    Mwenyekiti wa kijiji na serikali yake wahitajika kituo cha polisi kwa kosa la kuwahoji wafugaji walioingia kijijini bila utaratibu wa kisheria

    NAMTUMBO -RUVUMA Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi ni mkazi wa mjini Songea ila mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo katika kijiji cha Songambele. Kutoka na maisha ya mjini na changamoto zake nikaamua kuja kijijini kwa ajili ya kilimo cha mahindi ili mambo yaende sawa...
  11. Mr Why

    Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya

    Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya Walipokuja walitambulishwa na sura zao kila mmoja akazishika ila ilipofika asubuhi hali ikawa tofauti ikabidi kiongozi wa familia aitishe kikao cha dharura kwaajili ya kutambulisha wageni upya
  12. Brojust

    Kwa Hapa Tanzania, ukikosa kazi kabisa sio lazima ukabebe tofali au kazi za ujenzi, Nenda kijijini kalime.

    Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki. Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template ya barua ambayo unaweza ku edit hata kwa simu. Piga simu kujijini kwenu, haswa kwa watu wa mbeya...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Makazi ya Magori wa Simba Sc kijijini kwao Rorya: Wanangu tutafute hela

    Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
  14. G

    Ni aibu kurudi kijijini kila mwaka hujapiga hatua, Ni lazima utarudi mjini na hasira ya kuzisaka noti, kwenye ukoo unadharaulika kama huna pesa

    Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!! Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
  15. The Burning Spear

    Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Great thinkers. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane. Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko.. Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    Uhuru na Kazi: Uanzishwaji wa "Mtiro High School" Kijijini Busekera

    UHURU NA KAZI: UANZISHWAJI WA "MTIRO HIGH SCHOOL" KIJIJINI BUSEKERA Jimbo la Musoma Vijijini limeamua kuongeza idadi ya "High Schools" hasa za masomo ya sayansi kwa kujenga na kuboresha miundombinu ya elimu kwa baadhi ya sekondari zake za Kata. Idadi ya "High Schools" Jimboni mwetu: (i)...
  17. Stephano Mgendanyi

    Zahanati Mpya Kufunguliwa Leo Kijijini Nyabaengere, Kata ya Musanja

    ZAHANATI MPYA KUFUNGULIWA LEO KIJIJINI NYABAENGERE, KATA YA MUSANJA Utoaji wa Huduma za Afya waendelea kuboreshwa ndani ya vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini. Kata ya Musanja yenye vijiji vitatu (Mabuimerafuru, Musanja na Nyabaengere) haikuwa na zahanati hata moja - wanatembea umbali mrefu...
  18. F

    LGE2024 Leo nimechukia sana nilipokuwa napiga kura kijijini kwangu Moshi, eti hakuna mpinzani hata mmoja anagombea na nimefanya kweli kwenye sanduku la kura

    Nimefika kupiga kura kituoni mida ya saa 5 asubuhi. Watu hawakuwa wengi na walikuwa wanakuja taratibu, wengine wapo shambani wanasubiri wapigiwe simu zamu yao ikikaribia. Kilichoniudhi ni kukuta hakuna mpinzani hata mmoja anagombea, wote ni CCM tupu! Halafu nikakuta ule mtindo wa enzi za...
  19. Waufukweni

    LGE2024 Rais mstaafu, Jakaya Kikwete achagua viongozi kijijini Msoga

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa kijijini kwake Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo Novemba 27, 2024 ikiwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaofanyika nchini.
  20. Nyanda Banka

    Gharama ya ujenzi wa Ghorofa Moja Kwa maeneo ya kijijini ni shilingi ngapi

    Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya kushangaza na kustaajabisha kuhusiana na ujenzi wa Ghorofa Napenda kupata majibu kutoka mafundi...
Back
Top Bottom