kijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Mlioenda kijijini kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu nyoosheni mikono juu!

    Watu wengi hupendelea kurudi makwao, hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. Wengi hurudi vijijini ambapo ndipo chimbuko lao lilipoanzia, ili kusherehekea kwa pamoja; wapo wanaochinja mbuzi, ng'ombe n.k ili mradi kunogesha furaha ya kuwa pamoja na kujiandaa kukaribisha mwaka mwingine...
  2. luangalila

    Uongozi wa Halmashauri ya Shinyanga kijijini angalieni kwa makini mnada unaofanyika soko la Tinde

    Wadau kwema ! Naleta maoni yangu kwa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga vijijini, kuna soko la mnada pale maeneo ya Tinde huwa ni maarufu sanaa kwa biashara mbali mbali hadi vitoweo Nilifika ilo eneo leo kwa mara ya kwanza lkn kiukweli ni hatarishi sanaa uchomaji wa nyama Mbuzi unaofanyika...
  3. Mpwayungu Village

    Vijana tokeni Kariakoo nendeni kijijini mkalime

    Vijana wenzangu nipo hapa kuwapeni ushauri, jembe halimtupi mkulima shida yenu mpo dar kuokoteza miamia mnaacha kutumia fursa za ardhi yetu yenye rutuba. Huu ni msimu wa mvua njooni mashambani mlime. Kuna mapori kibao katavi huko. Ukilima ufuta, mahindi na arizeti hutajuta. Sasa mpo tu mjini...
  4. Mowwo

    Uzi maalumu kwa tulio kulia kijijini

    Nawasalim wanaJF. Kwema? Je umekulia mjini au kijijini? Nimekumbuka enzi hizo maisha ya kijijini yalivokua nikaona nishee na wadau. Kwa tulioishi au kukulia kijijini kila mmoja anakumbukumbu ambayo akikaa anaweza kukumbuka kua mazingira ya kijijini ndo yaliwezesha hiyo kumbukumbu. Nikimaanisha...
  5. Komeo Lachuma

    Kisa cha Shanga: Leo nimekutana na binti wa Kijijini ambaye nilifanya msala kijijini Wamama wakaja kusemelea kwa Bibi

    Likizo niliambiwa this time unaenda kumsalimia bibiyo. Nikaona si Issue....nikabadili mazingira huko Morogoro. Basi nikaenda kule kijijini nlikuwa gumzo miaka hiyo nimepiga pamba kali nimeweka na plata shavuni kama Nelly. Basi walikuwepo watoto wakali sana ila mimi domo zege halafu sina...
  6. I

    Nikipeleka kuku chotara kijijini nitapata matokeo mazuri?

    Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji? Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
  7. J

    IGP Simon Sirro kwa kushirikiana na wadau ajenga Kanisa kijijini kwao

    ..habari nzima ipo hapa
  8. Mchunguzi Fukara

    Sandio Mane ni mchezaji wa kuigwa anatoa huduma zote mhimu kijijini kwao Mbambaly, analipa watu wake kila mwezi

    Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa mbambaly anabadilisha kijiji chake kuwa mji. Mane katika kijiji chao ambapo inakadiriwa wanaishi...
  9. sepema

    Ushauri: Natamani kuomba uhamisho nikafanyie kazi kijijini kwa wazazi wangu

    Salaam wakuu, Nimefanya kazi huku mjini kwa miaka10 saivi. Bado sina ndoa japo umri unaruhusu kufanya hivyo. Huku mjini sijafanya uwekezaji wamaana kutokani na changamoto za gharama za maisha kuwa juu. Nahisi nalipa kodi kubwa kuliko watanzania wenzangu wakijijini kwani huku mjini kila ikianza...
  10. I

    Napokea mshahari ngazi ya TGS D naishi kijijini naona fedha hiyo hainikidhi kabisa mahitaji yangu.

    Sasa najiuliza nyinyi wa mjini mnaopokea mshahara ngazi hii mnawezaje na maisha yalivyo sasahivi?
  11. Hance Mtanashati

    Harmonize sura ya kijijini na mambo ya kijijini hayotokaa yamuishe

    Kwa kifupi harmonize ana muonekano wa kishamba sana yani hata afanyeje hawezi kubadilika hata mambo anayoyafanya ni kishamba sana yani ni ya ajabu mpaka anajiaibisha kila kukicha. Hata akipiga picha huwa hapendezi ana vimapozi flani hivi vya kindezi ndezi 🤣🤣🤣🤣🤣 Mpangilio wa mambo yake pia ni...
  12. Bushmamy

    Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  13. JanguKamaJangu

    Iringa: Tsh Milioni 100 za wodi ya wazazi zapokewa kwa shangwe kijijini, zapunguza vifo vya kina mama

    Uongozi wa Kijiji cha Igoda, Kata ya Luhunga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa umepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Kampuni ya Foxes Treck kupitia Taasisi ya Foxes Community and Wildlife Conservation (FCWC) kwa kujitolea zaidi ya Tsh milioni 100 kujenga wodi ya wazazi na zahanati...
  14. S

    Ni shida nimetembelea kijijini hukooo ndani ndani,alooo !

    Nilikuwa nikae mwezi lakini yamenishinda,kuoga kisimani kwenda haja kubwa au ndogo ni kwenye machaka unakuta hakuna chaka ni minazi mitupu ,usiku ukitaka kwenda haja ndio kindende. Nimetaka kuwachimbia choo wakasema arzi yao ina maji,hivi mpo mmezoea hii hali wakiti mkitoka mjini au ulaya.
  15. Frumence M Kyauke

    Kisa cha nyumba ya nyasi kijijini chasababisha ndoa kuvunjika

    Katika kipindi chetu cha Gidi na Ghost asubuhi kitengo cha 'Stori za Ghost' mtangazaji Ghost Mulee alisimulia kisa kimoja kilichohusisha wapenzi wawili ambao ndoa yao ya miaka mitatu ilisambaratika wakati jamaa alipeleka mkewe nyumbani kwao kwa mara ya kwanza. Ghost alisimulia jinsi mwanadada...
  16. Superbug

    Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  17. Kasomi

    Oktoba 15: Maadhimisho ya Siku ya wanawake wanao ishi kijijini

    Leo ni Siku ya wanawake wanao ishi kijijini, Siku hii huadhimishwa kila Oktoba 15 ikilenga kutambua Haki za Wanawake wanao ishi kijijini pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo Siku ya Kimataifa ya wanawake waishio kijijini inaweka msisitizo kwenye kushughulikia matatizo...
  18. M

    Narudi kuwekeza kijijini

    Nimekuwa na kawaida ya kutembelea vijiji mbali mbali, juzi nilikuwa Mufindi, nikakutana na Wachina kijijini Mapanda wanatafuta miti kwa ajili ya fenicha kiwandani kwao. Siku moja nilikuwa kijijini kwetu, nikiwa kijiweni na madogo, nikashangaa kuona utitiri wa pikipiki, madogo wakaniambia hapa...
Back
Top Bottom