kikazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jemima Mrembo

    Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

    Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu. Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana. Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema...
  2. Roving Journalist

    Waziri Makamba awasili Uholanzi kwa ziara ya kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuf Makamba (Mb.) amewasili Jijini The Hague, Uholanzi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 13 - 15 Novemba 2023. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Makamba ataongoza ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la...
  3. Objective football

    Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

    Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja. Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida...
  4. Roving Journalist

    Rais wa Ujerumani kufanya ziara Nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, atafanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 01 Novemba 2023. Ziara hii mbali na kudumisha uhusiano wa Kidiplomasia na ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Tanzania na Ujerumani, pia imelenga kwenye kukuza na...
  5. benzemah

    Rais Samia ahitimisha Ziara ya Kikazi Mkoani Tabora

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ndege wa Tabora baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi mkoni humo tarehe 19 Oktoba, 2023...
  6. Erythrocyte

    Tundu Lissu kuanza ziara ya kikazi Marekani

    Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa . Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
  7. Roving Journalist

    Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kitaifa nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/VuNUt9YAn8Q?si=JkkkUnFuBzu6q8PP Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya...
  8. BARD AI

    Rais Samia alivyowasili nchini India kwa ziara ya Kikazi ya siku 4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini New Delhi, India leo tarehe 08 Oktoba, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini humo. Mapokezi rasmi ya Rais Samia yatafanyika tarehe 09 Oktoba, 2023 ambapo atapokelewa na mwenyeji wake Rais wa...
  9. B

    General Manoj Pande wa jeshi la India yupo Tanzania kwa ziara ya kikazi

    Ziara ya general Manoj Pande kutoka India nchini Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aIzo8AkcGxE Mkuu wa jeshi la ardhini la India, General Manoj Pande awasili kwa ziara ya kikazi Tanzania. General Manoj Pande amekutana na waziri wa ulinzi Dr. Stergomena Lawrence Tax, na mkuu wa majeshi ya...
  10. JanguKamaJangu

    Rais wa Algeria akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Tax katika Ikulu ya Algiers

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amekutana Kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) alipomtembelea Ikulu Jijini Algiers, Algeria tarehe 1 Agosti 2023. Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa...
  11. J

    Waziri Kairuki afanya ziara ya kikazi Tanga

    WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TANGA WAZIRI wa Nchi,@ortamisemitz Mhe. Angellah Kairuki leo tarehe 06 Julai 2023 amewasili Wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo. Mhe.Kairuki atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Elimu na Afya. Pia...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Wakati watoto wengi wa umri wa miaka 14 wanajiandaa kuingia shule ya sekondari mtoto Kairan Quazi anajiandaa kuanza safari ya maisha yake ya kikazi

    Katika umri wa miaka 14, Kairan Quazi amekuwa mhandisi wa programu katika kampuni ya Elon Musk SpaceX. "Sina wasiwasi juu ya uchovu," asema, "kwa sababu haya ni mapenzi yangu. Sio kitu ambacho mtu amenilazimisha kufanya." Wakati watoto wengi wa umri wa miaka 14 wanajiandaa kuingia shule ya...
  13. B

    RC Homera na ziara ya kikazi wilayani Mbarali

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera atafanya ziara wilayani Mbarali kesho Jumatano Juni 07, 2023 ambapo atakagua mradi wa umwagiliaji wa Uturo Isenyela wenye thamani ya Bilioni 13.9, kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Mapogolo, kufanya kikao cha Baraza la Madiwani kujadili taarifa ya...
  14. peno hasegawa

    Katibu mwenezi CCM Taifa anaweza kufanya ziara za kikazi Mikoani bila kuwepo Katibu Mkuu Chogolo?

    Kuuliza sio ujinga. Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
  15. J

    Ziara ya kikazi ya Waziri Jumaa Aweso nchini Italia

    ZIARA YA KIKAZI YA MHESHIIWA JUMAA AWESO WAZIRI WA MAJI NCHINI ITALIA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alifanya ziara ya kikazi Rome-Italy hivi karibu mwezi Mei mwaka 2023. Akiwa Italia Mhe Waziri Aweso alipokelewa na mwenyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Italia Mheshimiwa Mahamood...
  16. Jidu La Mabambasi

    Mwigulu Nchemba na Ashatu Kijaji ni Mawaziri wenye utendaji unaotia shaka

    Mgomo wa Kariakoo umeibua mengi, lakini pamoja na kuonyesha madudu ya uncontrollable TRA na rushwa za nje nje zilizoishinda serikali kuzikabili, mgomo umeibua jambo serious la utendaji chini ya kiwango wa mawaziri wa Fedha na Mipango, pamoja na yule wa Biashara na Viwanda. Wiazara hizi lazima...
  17. Stephano Mgendanyi

    Komredi Kawaida Apokelewa Mkoani Kagera kwa Ziara ya Kikazi

    KOMREDI KAWAIDA APOKELEWA MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Mohammed Kawaida amewasili mkoani Kagera kuhitimisha Ziara maalumu ya vinaja wanaonufaika na mradi wa Jenga kesho Bora BBT unaosimamiwa na wizara ya kilimo. Lengo la ziara...
  18. sky soldier

    Wazungu waliokuja kikazi hapa ofisini wanafurahi watanzania ni wakarimu maana wanapata treatment na attention nzuri hata kwa mabosi wakorofi.

    Sijui niseme ni ushamba wa rangi au vp, ila nikisema kwamba hii nchi kuna ubaguzi nako naweza kukaribia. Kuna wazungu hapa wanafunzi wa waliotoka huko ulaya wamekuja kikazi hapa ofisini, wamefika jumatatu watakuwa hapa kwa wiki mbili. wawili wa kiume na wawili wa kike wapo kwenye rika la 21...
  19. J

    Aweso ahitimisha ratiba ya kikazi Umoja wa Mataifa New York, atoa shukrani kwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu

    Waziri wa Maji ameshiriki kikao cha Shukrani na kuagana na watumishi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York. Watumishi hao wameongozwa na Mhe. Balozi Dkt. Suleiman Haji Suleiman, Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa...
  20. Stephano Mgendanyi

    Nancy Nyalusi afanya Ziara ya Kikazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo - Iringa

    MHE. NANCY NYALUSI AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO - IRINGA MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya Kilolo mkoani Iringa katika kijiji cha Ng'uruwe ambapo amachangia Shilingi Milioni 1 kwenye...
Back
Top Bottom