Ngoja tu nianze kwa kusema, This is all "Allegedly".
Observation yangu ni kwamba vijana wengi wa kataa ndoa asilimia kubwa ni vijana wa kikristo, au wana background ya kikristo au ni atheists.
Yes kila mtu ana experience zake but kwa mm, watu ambao nime interact nao(kweny mada za ndoa na...
Ndoa ya Kikristo ina Vigezo Gani
Hii ni ndoa inayofungwa katika kanuni timilifu za Mungu alizozikusudia tangu mwanzo.
Vigezo vinavyohusika vimeainishwa katika sehemu zinazofuata hapo chini.
Wote wawe waumini
(2Wakorintho 6:14-18)
Kuamini si lazima muwe katika viwango sawa kiroho, lakini wote...
Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
Ni mwanzo mzuri japo mimi kwa kweli sijawahi kuwa na imani na kobaz yeyote, hata akiwa jirani yangu, kuna majini huwa wameingizwa kwenye system zao na hutibuka mara moja ghafla bila kutarajiwa. Huyu kiongozi mpya ambaye ni ni mvaa makobaz, anaonekana kuwa na muelekeo mwema, ila siku akianza...
Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao.
Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu.
Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo?
Je ni halali kwa mataifa yote kutumia...
Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo.
Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa.
Ukiwa mume mkeo...
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.
Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni...
Harakari za uumbaji wa mwanadamu kiimani na utata unaojitokeza yapi maswali ya kujiuliza kwa kina. Je nani mwenye majibu yake au nani anaweza kutujibia.
Ndugu zangu.
A) Uumbwaji wa mwanamke na mwanaume bila udogo, tena wenye usawa ndani yake
Tukiangazia kitabu cha mwazo 1: 26-28 tutagundua...
Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao....
chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,,
Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri...
JE!? ni dhambi au si dhambi kwa kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo.
yaani kusuka nywele za mkono au mawigi
kuvaa mapambo kutoboa sehemu za miili yao na kuvaa hereni na vikukuu
kuvaa mavazi ya kiume au yanayoacha wazi sehemu za miili yao,nguo zinazowabana na kuchora maumbile yao au nguo...
Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo.
Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida,
Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana...
Habari wakuu..
Naomba msaada wa movie nzuri zenye maudhui ya kiristo ambazo ni inspirational ambazo zinaweza kumjenga mtu kiimani akiziangalia, zenye mafundisho, zisizo na scenes au picha chafu(za uchi).
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao.
CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za Kikristo zilizoanguka:
Dola la Roma la Magharibi (476 CE): Dola la Roma la Magharibi lilikuwa na...
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka...
Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka.
Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya kujinyonga.
Swali langu, roman catholic kutokana na sababu za dogo kujinyonga zinaeleweka nae mtamzkka...
Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, wenye ufahamu - mzazi wa kiume akifa watoto wa nje kwa dini ya kikristo wanarithi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.