Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani.
Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi.
Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
Bila shaka ndoa za kiislam wanandoa huwa wanafaidi sana linapokuja suala la kuongeza mke, kuoa ama kuolewa upya kwa urahisi, talaka, n.k. na haya mambo ndio penye udhaifu wa ndoa za kikristo, hata talaka tu inaweza chukua miaka, wanandoa wengi hubanana humo humo.
Ila linapokuja suala la watoto...
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais ana kinga ya kutoshtakiwa.
Ndio sababu tuna Bunge ambalo linaweza kumshughulikia pindi anaposhindwa kutekeleza Majukumu yake ipasavyo.
Sasa kama Bunge lilishindwa kushughulika na hayati Magufuli akiwa madarakani hilo ni tatizo la Wabunge siyo JPM.
Kwenye Ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.