Wanabodi salaam.
sitokei kanda ya ziwa na wala sipapigii debe Chato nyumbani kwa Mzee JPM, ila naleta mada hii kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Pale Chato pamejengwa Hospitali kubwa ya Rufaa ya Kanda, ina majengo mazuri sana na nina Imani hata vitendea kazi pia, lakini nna mashaka bado idadi...