Lishe ya antioxidant lycopene inayopatikana kwenye nyanya ina virutubisho ambavyo vina faida nyingi kiafya, ikiwa ni pamoja kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo, saratani na pumu. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini C, potasiamu, folate, na vitamini K.
Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni.
Nimejaribu kutafuta hicho chuo kinachojulikana kama "Yohana Iniversity" kama mwenzetu alivyoandika nimekikosa.
Naomba msaada kwa anayejua Yohana university ilipo...
Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata
Mashamba kilomita
Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka
Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka
Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka
MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10
Mpaka acre 500...
Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam
You may be among those who have applied for university scholarships for international students - but were never lucky.
Although there are...
ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa.
CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa
CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa.
CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza.
J J Mnyika anasema CHADEMA ina wajibu kama chama kikuu cha upinzani.
Ndio nauliza CHADEMA ni chama...
Kwa kuzingatia umuhimu na ukubwa wa jiji la Mwanza kunatakiwa kuwe na Chuo Kikuu cha Serikali ambacho kitatoa elimu kwa ukanda wote wa Ziwa.
Kulingana na matawi yaliyopo ya vyuo mbalimbali lakini bado hayajakidhi mahitaji na matakwa ya watu wa Mwanza. Kunatakiwa kuwepo na chuo kikuu ambacho...
Nimegundua kuna madudu na ubabaishaji mkubwa sana wa malipo ya fedha za Kijikimu(Meals and Accomodations) kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha ST. AUGUSTINE MWANZA, ambazo kimsingi ni fedha wanazokopeshwa wanafunzi Ili baadae wazilipe.
Serikali inaingiza hela kwenye account ya chuo mapema tu, alafu...
Baada ya kufungua daraja la juu la Kijazi sasa Rais Magufuli amewasili Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani tayari kabisa kwa kukifungua rasmi.
Watu ni wengi sana.
Up dates;
====
WAZIRI JAFO AAGIZA MKURUGENZI WA JIJI KUANDAA BANGO LA STENDI YA MAGUFULI
Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI...
Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar.
Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib
Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
Mheshimiwa Rais!
Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU.
Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021.
Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi...
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya...
Habari watanzania, leo nimekuja na hili swali, maana limenichanganya kidogo. Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT.
Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi...
Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha
FRIDAY JANUARY 29 2021
Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
Chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Congo kimesema kitasusia uchaguzi uliopangwa kufanyika Machi 21. Kwenye uchaguzi huo Rais Denis Sassou Nguesso aliyepo madarakani kwa miongo kadhaa anawania kuchaguliwa tena.
Nguesso mwenye umri wa miaka 77 ameshikilia madaraka kwa miaka 36 sasa na...
Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?''
Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na palepale mwalimu wangu ataniangusha ''lecture'' ya maana.
Vijana wengi wamekuwa wakija kwangu wakitaka kufahamu historia ya kweli ya...
Wakuu habari za sasa.....
Naomba kuuliza kwa aliyewahi kuagiza bidhaa kikuu....hivi huwa inachukua muda gani Hadi kukufikia bidhaa uliyoagiza.
Pia kwa aliyewahi kuagiza screen magnifier vipi Ni kwa kuangalizia video tu au na kufungulia mafaili ya pdf, documents n.k,naomba nijuzwe.
Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.