kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada tafadhali kuhusu Kikuu

    Habari za humu Watanzania? Samahani nimeingia kikuu ili kuona kama kuna kitu naweza kuchukua ila kuna vitu sijavielewa vizuri ni kuhusu hizo voucher sijaelewa kabisa zinakuwaje kuwaje? msaada tafadhali
  2. Nimedahiliwa na chuo kikuu nchini ila kutokana na hali iliyo nje ya uwezo wangu nimeshindwa kujiunga, naomba msaada wa mawazo

    Ushauri tafadhali, nimepata udahili wa chuo kikuu fulani hapa nchini. Sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuhairisha kuripoti chuo hicho. Nauliza endapo sitasitisha (cancel) hii application mwakani sitakuwa na vigezo vya kuomba tena? Kama mwombaji mpya kwa vyuo vyote...
  3. L

    Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

    Wakuu, Nina hoja fupi hapa, hivi mbona wakazi wengi wa Dar es salaam na miji mingine wanapenda kuhama usiku usiku tu? Mtu anatoka Keko anahamia Mbagala lazima atahamisha vitu usiku tu. Hivi kunani hapa? Wanaficha nini? Kwanini wasihame mchana au asubuhi? Wakuu karibuni hapa mtujuze
  4. S

    Baada ya ACT-Wazalendo kujiunga katika SUK huko Zanzibar, CHADEMA kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar

    Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT-Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…