kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoa Taarifa

    Ripoti WHO: Kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kifua Kikuu duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo ni kubwa zaidi iliyorekodiwa tangu WHO ilipoanza ufuatiliaji wa TB duniani mwaka 1995. Hili...
  2. K

    Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  3. M

    Natafuta kazi nimesomea Human Resources chuo kikuu cha Dar-Es-Salaam

    Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri Mawasiliano 0624-137476 E-mail:faidhak6@gmail.com
  4. F

    Je wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu au mtafiti na unahitaji usaidizi katika research organization and publication an, statistical analysis?

    Visit ResearchLink International for assistance in statistical analysis, research organization, planning, data analysis, article publication, plus other study opportunities. University students, grab these opportunities without missing, it's free.
  5. Pawaga

    AliExpress na Kikuu

    Habari? Nilikuwa natafuta INCUBATOR sasa ktk pitapita mtandaoni nimekutana na hizi App za AliExpress na Kikuu Zina hizo mashine nazohitaji Tena kwa affordable price kwangu. Je ninaweza kuagiza na kulipia kweny hizi Apps Zina uhakika au nitapigwa?
  6. L

    Azam wana timu nzuri, wana wachezaji wazuri na jana kaondolewa kwenye michuano

    Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko tutakorofisha tena mtani abebe ndoo na Injinia kashasema Simba haimnyimi usingizi, anajua...
  7. UMUGHAKA

    Napendekeza kituo kikuu cha Treni Mwanza kiitwe UMUGHAKA MWANZA STATION

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Hili ni pendekezo Kwa viongozi wa Serikali,najua wengi wenu mko humu na mtapitia huu Uzi. Sababu za Kituo hicho Kipya kitakachokuwa kizuri kupita maelezo kupewa jina la UMUGHAKA ni zifuatazo:- 1. UMUGHAKA ni Jasiri,hivyo kituo hicho kitakachojengwa...
  8. Roving Journalist

    Mikataba ya TACTIC ya ujenzi wa Barabara, Kituo Kikuu cha Mabasi na Soko Kuu la Jiji yasainiwa Mbeya

    Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio cha Wananchi wa Mbeya kwa hatua ya kuanza kuboresha miundombinu mbalimbali katika Jiji la Mbeya...
  9. Riskytaker

    Siku Hazigandi: Watoto wa 2005 Wanaingia Chuo Kikuu Mwaka 2024

    Matokeo ya kidato cha sita yameanza kutolewa, na hawa vijana hawana mchezo—wanapata division 1 kwa wingi! Takriban 90% ya watoto hawa wamezaliwa mwaka 2005, na sasa wanakabiliwa na changamoto mpya. Kwa heshima zote, tunawapongeza walimu na wafanyakazi wa shule ambao wamefanikisha mafanikio...
  10. JanguKamaJangu

    Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

    https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza. Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
  11. I

    KIKUU mnachofanya sio sawa, bahasha tupu halafu mmesepa na 28,000 yangu

    Nimeagiza mzigo mdogo tu ili nipate experience ya Kikuu na niwe naagiza mara kwa mara. Matokeo yake nimeletewa bahasha yenye kibahasha kidogo ndani na haina kitu. Aliyeleta anasema yeye anafikisha vifurushi tu na hausiki kwenye kupakia au kufunga mizigo hivyo n iwasiliane na hao Kikuu...
  12. T

    Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  13. B

    Rais Samia afanikisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tawi la Kagera kuanza kujengwa RC Mwassa asisitiza uharaka

    Na Bwanku M Bwanku 🔨Kukamilika mwaka mmoja na nusu ujao, kwenda kufuta adha ya Mkoa wa Kagera kutokuwa na Chuo Kikuu. Wiki iliyopita ilikua ya furaha na ndelemo baada ya Mkoa wa Kagera kuanza rasmi ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Tawi la Kagera na kufuta changamoto ya mkoa wa...
  14. Roving Journalist

    Hali ya Uripoti wa Habari Tanzania 2022 (Utafiti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam)

    Utangulizi 1.0 Utangulizi Tangu kuzinduliwa kwa ripoti kamili ya Mradi wa Ubora wa Vyombo vya Habari Tanzania “Yearbook on Media Quality in Tanzania” mwaka 2018, tayari ripoti tatu zimeshachapishwa. Ripoti zote tatu, zimeelezea kwa kina ubora wa uripoti wa habari nchini na kwa hiyo ripoti hizo...
  15. Mcheza Piano

    Yanga Ifungue Chuo Kikuu cha Soka

    Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba. Asante
  16. BARD AI

    Wizara ya Afya: Vifo vinavyotokana na UKIMWI na Kifua Kikuu vimepungua nchini

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000 Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 Bungeni, pia, Waziri Ummy amesema Vifo vya Watoto wenye chini ya Miaka...
  17. Ritz

    Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

    Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono. Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai. Ikiwa haya yangekuwa matukio ya...
  18. Webabu

    Waandamanaji wanaoiunga mkono Hamas wateka jengo chuo kikuu cha Columbia

    Katika hali inayoonekana kuongezeka kwa maandamano ya kuiunga mkono Hamas na kuilaani Israel huko chuo kikuu cha Columbia nchini Marekani,waandamanaji hao wameteka moja ya jengo la chuo kikuu hicho. Utekaji huo ulifanyika muda mfupi kabla ya onyo lililotolewa na kuondoka kwenye mahema...
  19. U

    Mkuu wa tawi la chuo Kikuu cha Al Mustapha , Ali Taghavi awataka waislam kuipenda quraan kwani imetoka kwa Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan akisistiza ni kitabu pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu...
  20. A

    KERO Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu

    Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya blocks 6, tatu katika hizo sita ni mbovu kupindukia. Block moja zima unaweza kukuta vyoo(matundu)...
Back
Top Bottom