Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000
Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 Bungeni, pia, Waziri Ummy amesema Vifo vya Watoto wenye chini ya Miaka...