kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nape Mosses Nnauye ni mwanafunzi halali wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

  2. Tuhuma za elimu ya Nape Nnauye yakiamsha Chuo Kikuu Huria

    Taarifa ya Chuo hicho hii hapa
  3. Chuo Kikuu Huria (OUT), mnatakatisha vyeti vya wanasiasa?

    Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa. Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu...
  4. F

    Sensa ya kwenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikifanyika. Results zitabadili mtazamo wa wazazi kulipa ada mamilioni

    Habari wadau. Najaribu kuwaza ikitokea sensa ya wenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikafanyika. Mtazamo wa wazazi juu ya elimu utabadilika sana. Kwa hali ya ajira ilivyo,,Ada za mamilioni tunazolipia watoto wetu ni bora tuwanunulie mashamba, mifugo, kuwajengea vyumba vya kupangisha etc...
  5. L

    Sintofahamu ya siasa za ndani nchini Marekani ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa uhusiano wa China na Marekani katika siku zijazo

    Mwelekeo wa uhusiano kati ya China na Marekani umewekwa wazi katika masuala ya kulegeza, kutuliza na kurejesha uhusiano huo. Jamii ya kimataifa ina matumaini kuwa, uhusiano kati ya nchi hizi mbili kubwa kiuchumi duniani utatulia, na utasonga mbele badala ya kurudi nyuma, kwani utulivu wa...
  6. Israel walipua chuo kikuu cha Al-Azhar University kule Gaza maana kilitumiwa na magaidi

    Hamna kinaacho achwa, Gaza itakua shamba.... The IDF says troops of the Combat Engineering Corps’ 749th Reserve Battalion destroyed buildings containing Hamas infrastructure at Gaza City’s Al-Azhar University. According to the IDF, on the university campus, troops found a tunnel entrance that...
  7. Elimu ilifia Chuo Kikuu au ilizikwa chuo kikuu?

    ELIMU ILIFIA CHUO KIKUU au ILIZIKWA CHUO KIKUU? Imeandikwa na ASKOFU BAGONZA Mzee Jenerali Ulimwengu kasema vyuo vikuu vyetu ni kama Extended High School. Anayebishi anitafute. Sababu ni nyingi kama idadi ya wajinga wetu waliosoma vyuo vikuu. 1. Tulipokuwa na Chuo Kikuu kimoja, tulifuta...
  8. KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani...
  9. Ndugai: TANESCO ni kikwazo kikuu kwa maendeleo ya Watanzania

    Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme hovyo hovyo. ----- Spika wa Bunge Mstaafu Job Ndugai, ameitaka Serikali kuboresha taratibu zake...
  10. Tundu Lissu awasili Kituo kikuu cha Polisi Arusha

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameripoti kwenye kituo Kikuu cha Polisi Arusha Mjini , kwa ajili ya kuendelea kutoa maelezo kutokana na kile kinachoitwa kufanya mikutano bila Kibali huko Ngorongoro Mwezi septemba . Ameambatana na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Chake .
  11. B

    Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  12. N

    Nafasi ya kazi ya Meneja Chama Kikuu cha Ushirika Kyela (KYECU)

    Ndugu wapambanaji wenzangu, hii hapa fursa ya ajira, hii nafasi ni nzuri sana kwa muhitaji wa ajira. changamkia.
  13. Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

    Bila salamu! Mnajifanya wajanja sana, maneno mengi kama machinga wa kampuni wanaotembeza bidhaa. Mnatuona tuliopo mkoani kama mmetupiga KO lakini sisi tunawadere tuu, tunawalia gap, tunajua mbele kuna tuta. Msidhani hatuna habari zenu. Tunazo sana. Tunajua chakula chenu kikuu ni Ugali nyanya...
  14. S

    Mwanangu yupo humu JF na kijiwe chake kikuu ni hapa MMU

    Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano mapenzi na Unafiki. Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia. Yaani mzazi unakutana na mwanao kwenye mitaa ya...
  15. Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Ndugu, naomba kufahamu kwa anayejua hizi Joining Instructions za kujiunga Chuo Kikuu cha Dar es salaam zinapatikanaje? Muda umeenda sana na masomo karibu yanakaribia. Nimeomba online na kujibiwa kuwa nimechaguliwa na pia nime confirm kwa kutumia code namba. Kwa sasa kwenye account yangu...
  16. M

    India kujenga Chuo Kikuu Kizimkazi Zanzibar

    India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
  17. Chuo Kikuu cha Mzumbe chakiri Wanafunzi zaidi ya 500 wanadai malipo ya 'refund' chuoni hapo

    Baada ya malalamiko kutoka kwa memba wa JamiiForums kuwa kuna Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe ambao walijilipia Ada wakati wa kujisajili kabla Bodi ya Mkopo kuingiza malipo ya mkopo wao, hivyo wakaahidiwa kurejeshewa kiasi cha fedha kilichozidi lakini hali imekuwa tofauti, ufafanuzi...
  18. Changamoto ya mfumo wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kushindwa kutatuliwa takriban wiki 3 sasa

    Ujumbe kutoka kwa kati ya mwanafunzi aliyehitimu na kuomba kupaziwa sauti. "Mimi ni muhitimu wa stashahada ya computer science chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeyaa Kumekuwa na tatizo la mfumo yaani SIMS (student information management system) kwa muda wa takribani wiki 3 mpaka sasa...
  19. Sugu aendelea Kutikisa Chunya, achambua Katiba kama Mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wananchi waanza kumuelewa

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi bado yuko Chunya kwa ziara ya kikazi, ambako ameendelea kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya ambayo itazaa Tume huru ya Uchaguzi. Sugu ambaye sasa anajulikana pia kama Jeshi la Mtu mmoja, anashangaza wengi kutokana na uwezo wake wa...
  20. A

    DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…