Hellow guys,
Mimi ni Mwanamke wa miaka 25 mpaka sasa, nina mume na nampenda sana.
Tabia ya kujichua niliianza mwaka 2019 nikiwa Chuo mwaka wa kwanza ambapo Ex-boyfriend wangu aliniambia “anahisi anatumia nguvu sana na sifiki kileleni.” Hivyo nikaamua kuanza kujaribu kama uwezo ninao au lah...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nilipwe Milioni 1 yangu,Tofauti na hapo utaula wa chuya!
Watanzania tuko milioni 60,kwanini serikali isilitulipe kila mtanzania milioni 1 kila mwezi?,Mbona ni hela ndogo tu hiyo!.
Watu milioni 60 × 1 milioni kila mwezi = Milioni 60.
Nadhani hii iwekwe kwenye...
Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) ni shirika ambalo lilianzishwa tarehe 23 Machi 2000 chini ya Sheria ya Vyama, SURA 337.
TAOMAC inajitahidi kukuza sekta endelevu na yenye ushindani wa mafuta ya petroli, ambapo makampuni yote ya uuzaji wa mafuta (OMCs) yanaendesha...
Habari
Kwa mmiliki wa suzuki carry, nahitaji kukodi kwa malipo ya mwezi au uniuzie kwa malipo ya kila mwezi..
Tutaandikishiana na dhamana zipo.
Kama unayo unaweza kunichek DM tukaelewana.
Naishi Kigamboni, Dar es salaam
Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku...
Ni binti naemjua kabisa alikuwa house girl akiwa na umri wa miaka 16 alitolewa huko Iringa aje kusaidia kazi, baada ya miaka sita familia ikaamua wampeleke sehemu ajifunze kushona, alipomaliza akarudi kwao kijijini wakampa cherehani na milioni 1 na nusu ya shukrani.
Binti hakukaa sana huko kwao...
Makampuni mengi kwa sasa idara ya masoko hawabezi fact kwamba hizi timu zina wafuasi wengi kuzidi vyama vya siasa na huunganisha watu pamoja hata kwenye tofauti za kidini ama siasa.
Makampuni tunayaona kwa sasa yanataka ukaribu kwa namna yoyote na hizi timu, si ya hapa kwetu tu bali hata nje...
Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
Salaam.....Good morning billionaires 😁😁😁😆 kabla hujakaa kwenye kiti wewe ni bilionaire a big mogul.
ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita 300 kwa siku hapo uwe na soko la maziwa la uhakika maana cow mmoja anatoa lita 30 sawa na 1000 kila...
Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi?
Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao.
Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi kama gharama za matunzo ya watoto na pia watashiriki malezi ya pamoja ya watoto wao wanne -- North...
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umesema kila mwezi huwalipa Sh. bilioni 60 wastaafu wa mfuko huo.
Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, James Mlowe, alisema fedha hizo hulipwa wastaafu 150,000 kwa mwezi.
Aidha, alisema Mfuko huo unalipa zaidi ya Sh. bilioni...
Kwa wale tuliowahi kufika kariakoo kufunga mizigo ama kununua reja reja ama kutalii tumeshajionea jinsi wakinga walivyoikamata kariakoo, Kariakoo ndio soko kuu hapa Tanzania na wafanyabiashara wa nchi nyingine kama Zambia, Congo, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, n.k hufunga mzigo kariakoo...
Rashid Shangazi: Katika kipindi cha miezi 9 mamlaka ya kodi imekusanya takribani trilioni 17.2 Ukipiga hesabu ya kila mwezi ni wastani wa trilioni 1.9
Kodi hizi zimekusanywa bila kutumia task force wala bila mtutu wa bunduki.
=====
Hivi kuna kipindi tulikuwa tunakusanya kodi kwa kutumia...
Nimewaza kutafuta biashara nitayopata faida sh 2000 kwa kila item. Nimepiga hesabu nitatengeneza million na zaidi kwa mwezi.
Hesabu ipo hivi, niweze kuuza bidhaa 500 ndani ya mwezi, nipate shilingi 2,000 faida kwa kila bidhaa. Kwa siku niuze bidhaa 20 na kila bidhaa niuze kwa faida ya Tsh 2000...
Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa mbambaly anabadilisha kijiji chake kuwa mji.
Mane katika kijiji chao ambapo inakadiriwa wanaishi...
Na John Mwakanga, Mbeya
Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi.
Juni 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.