MIKOA ya Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na Unguja Kaskazini inaongoza kwa wanawake wenye unene wa kukithiri, maarufu kama ‘viriba-tumbo’ (obesity).
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna, ameeleza hayo katika mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam leo...