kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Serikali lawamani kuruhusu Mkusanyiko wa Maelfu kwenye Kilimanjaro Marathon wakati Taifa linapambana na Virusi vya Korona

    Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua. Mkusanyiko wa mahali hapo ulikuwa ni mkubwa kiasi kwamba kaa kuna wstu wana virusi...
  2. 2019

    Vita ya Serikali na nzige yapamba moto huko Siha Kilimanjaro, Serikali inaweza kushindwa

    Hiyo ni wilaya ya Siha Kilimanjaro bado wanachanja mbuga wametokea Arusha hao. Tutapona njaa kweli?
  3. J

    Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

    Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya. Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho...
  4. chiwanga11

    Nzige Wavamia Kilimanjaro

    Mkoa wa Kilimanjaro eneo la Siha, Nzige wa Jangwani wamevamia. Si mchezo ni wengi balaa. -----+ Kundi la Nzige waharibifu wa jangwani limeingia wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania na kuibua hofu ya uharibifu wa mazao ya chakula. Wilaya hiyo inazalisha mazao mbali mbali ya...
  5. Cannabis

    RC Mghwira: Misiba mingi Kilimanjaro inatoka maeneo mengine nchini. Si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na Covid 19

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema misiba mingi iliyopo mkoani humo inatoka maeneo mengine na si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona. Amesema Mkoa huo upo salama na kuwataka wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa...
  6. J

    Wenyeji 60 wa mkoa wa Kilimanjaro wakamatwa na mitambo ya kutengeneza pombe haramu ya gongo

    Wenyeji 60 wa wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamekamatwa na madumu yenye pombe haramu aina ya gongo na mitambo ya kutengenezea pombe hiyo. Kamanda wa polisi wilayani Rombo amesema msako mkali unaendelea katika harakati za kukomesha uhalifu huo. Chanzo: ITV habari My take; Wenyeji wa Rombo...
  7. J

    TANZIA Mfanyabiashara maarufu Velani Mkomba ajulikanae kama Vigu Co aka Kilimanjaro Lembeni Kwetu afariki dunia

    Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Lembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi. Rip Velani
  8. Kibosho1

    Isiye waterfalls: Sehemu mpya ya kitalii Moshi

    Katika mkoa wenye vivutio vingi vya kitalii basi ni mkoa wa Kilimanjaro. Hii inatokana na uwepo wa mlima,ukiachilia mbali mlima huu kuwa kivutio,kuna mito inayotoka mlimani inayoteremka na baadae kuwa mto mmoja yani mto Pangani ambao unamwaga maji yake kwenye bahari ya Hindi. Uwepo wa mito...
  9. Artifact Collector

    Kilimanjaro yashika nafasi ya pili kitaifa matokeo ya kidato Cha nne 2021

    Arusha yasika nafasi ya kwanza, Kilimanjaro ya pili na iringa nafasi ya tatu matokeo ya kidato Cha nne yaliyotangazwa juzi
Back
Top Bottom