kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. Haldam11

    Umeme umekuwa janga mkoani Kilimanjaro

    Hali ya upatikanji wa umeme mkoa wa Kilimanjaro imekuwa changamoto kubwa sana, kwa siku umeme unaweza kukatika zaidi ya mara tatu, siku nyingne umeme unakatika zaidi ya masaa 16. Mkoani kwako hali ipoje?
  2. Mr Why

    Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

    Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu. Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao...
  3. Suley2019

    TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa. TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
  4. Bushmamy

    DOKEZO Kilimanjaro: Shule ya Msingi ya Serikali yaandikisha Wanafunzi watatu (3) kuanza Darasa la Kwanza

    Mlembea, ni moja ya Shule ya Serikali iliyopo Wilaya ya Rombo katika Tarafa ya Mashati Mkoani Kilimanjaro ambapo kwa Mwaka huu wa 2024 imeandikisha Wanafunzi watatu tu (3) kuingia darasa la kwanza kitu ambacho sio kawaida. Shule hiyo ya Msingi Mlembea jumla ya idadi ya wanafunzi katika shule...
  5. Ndagullachrles

    DC Moshi awatolea uvivu Kilimanjaro Express, acheni wizi

    MKUU wa wilaya ya Moshi, Kisare Makori leo alikuwa kwenye ofisi za makampuni ya mabasi ya Kilimanjaro express baada ya abria kusota kwa saa sita bila usafiri kufuatia katazo la Mamlaka ya udhibiti usafiri Ardhini(LATRA) kwa mabasi hayo kusafrisha abiria kuanzia leo kwa kukiuka masharti ya leseni...
  6. Suzy Elias

    Wafanyakazi wa kampuni ya mabasi ya KILIMANJARO wakamatwa Moshi, walishindwa kuwatafutia abiria usafiri mbadala na kujificha

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA. Chanzo gazeti la Mwananchi.
  7. BARD AI

    Mabasi ya Kilimanjaro yafungiwa kutoa huduma

    MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imeyasimamisha magari yote ya Kampuni ya Kilimanjaro Express kutoa huduma ya usafirishaji kuanzia jumatatu kutokana na kukiuka masharti ya leseni ikiwamo kutotoa tiketi ya kielektroniki na kuzidisha nauli kwa abiria. Agizo hilo limetolewa leo na...
  8. and 300

    Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

    2024 uwe na ujasiri kama Hill water. 1. Usiogope yoyote, 2. Weka mipango, 3. Tekeleza, 4. Sacrifice. Utatoboa NB: Mangi hatumii hirizi wala mazonge-zonge bali Biblia na bidii.
  9. Zanzibar-ASP

    KERO Stendi kuu ya mabasi ya Moshi (Kilimanjaro) imejaa ujinga, upuuzi, uchafu na ushamba uliopitiliza

    Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya ajabu, yaani uchafu, ushamba na ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza tena mamlaka za serikali...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Kairuki: Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival Kukuza Utalii Mkoani Kilimanjaro

    WAZIRI KAIRUKI: TAMASHA LA KILIMANJARO CULTURAL FESTIVAL KUKUZA UTALII MKOANI KILIMANJARO Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha za asili za jamii ya Wachaga, Wapare na...
  11. Ndagullachrles

    Mradi wa Kiberenge mlima Kilimanjaro kwa faida ya nani

    Wadau wa sekta ya utalii katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha,wamepaza sauti wakitaka mchakato wa mradi wa ujenzi wa kiberenge ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro usitishwe . Kwamba mradi huo ambao utahusisha viberenge 40 katika Njia za Machame na remosho umegubikwa na changamoto...
  12. chiembe

    Kilimanjaro Stars wana mechi na Zanzibar Herroes, kwanini Kilimajaro Stars wanatumia bendera ya Tanzania?

    Wadau wenye uelewa, mnaweza kufafanua? Kilimanjaro Stars hawana bendera yao? Naona Zanzibar Herroes wana bender yao
  13. BUSH BIN LADEN

    Jina Kilimanjaro stars kwa timu yetu ya football kwa wachezaji wa bara linachanganya.

    Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili? Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction. Kwanini kama lengo ni kuutangaza mlima isiwe specific timu ikaitwa Mount Kilimanjaro Stars kuliko hivi sasa ambapo...
  14. blogger

    Out of nowhere kilimanjaro lager has taken over!

    Ni bia pendwa kwa sasa. Out of nowhere yule mpinzani mkuu anapotea . Ingia pub yeyote... Whatever bar Kilimanharo trends... Thread! What's ur feeling!??
  15. Superbug

    Kwa msiofahamu mlima kilimanjaro unapumulia mlima rungwe ukiuziba mlima rungwe kilimanjaro inalipuka.

    Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro. Kwa leo ni hayo marry christmass. Superbug
  16. chiembe

    Mkoa wa Kilimanjaro pekee ndio wanarudi kwao mwisho wa mwaka,mikoa mingine wanaogopa kurogwa

    Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi. Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo),wameacha ma...
  17. A

    DOKEZO Kipande cha barabara Rombo - Tarakea mkoani Kilimanjaro mkandarasi amevunja kipande cha lami chenye mita 500 amemwaga vifusi bila kusawazisha

    Ametoa daivesion bila kueka kibao kua kuna daivesion wageni wakija wanapitiliza na kudondokea kwenye vifusi pia divesion imechimbika mashimo na mkandarasi ashahamisha mitambo yake
  18. JanguKamaJangu

    Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
  19. peno hasegawa

    Ndege ya Air Tanzania iliyotokea KIA kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha, libadilishwe!

    WAHUSIKA WASOME UJUMBE HUU HARAKA! Ndege ya air Tanzania iliyotokea Kilimanjaro International Airport kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha libadilishwe!
Back
Top Bottom