Maoni haya yachukuliwe na Serikali kwa Ajili ya kufanyia.maamuzi ya kisera.
Binafsi naunga mkono hoja Kilimo Cha Bangi Kibiashara na Kwa masharti Kwa Baadhi ya maeneo ya Nchi na nimewahi shusha nyuzi kadhaa humu.
Kwa wastani wa msimu mmoja kwa mwaka wakulima wa Tanzania huzalisha mahindi...