kilimo cha bangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea AAFP: Nitaruhusu kilimo cha bangi kukuza uchumi, Walevi lazima wakate Leseni

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amesema moja ya ajenda zake kuu endapo atapewa ridhaa ya kuongoza ni kuruhusu ulimaji wa bangi kwa matumizi ya kiuchumi, akisisitiza kuwa hatua hiyo inaweza kuwa mkombozi wa maisha ya wananchi na chanzo kipya cha mapato...
  2. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Watu Nane wakamatwa kwa Kilimo cha bangi Namtumbo

    Polisi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma, wamewakamata watu nane kwa kujihusisha na kilimo cha bangi akiwemo Linus Nazalius Mhagama maarufu Malifedha ambaye ndiye aliyegawa mbegu za bangi katika Kijiji cha Limamu na...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali Ihalalishe Kilimo cha Bangi Kibiashara au Iendelee Kupiga Marufuku?

    Maoni haya yachukuliwe na Serikali kwa Ajili ya kufanyia.maamuzi ya kisera. Binafsi naunga mkono hoja Kilimo Cha Bangi Kibiashara na Kwa masharti Kwa Baadhi ya maeneo ya Nchi na nimewahi shusha nyuzi kadhaa humu. Kwa wastani wa msimu mmoja kwa mwaka wakulima wa Tanzania huzalisha mahindi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamishina Aretas Lyimo: Wananchi wa Mkoa wa Morogoro na mikoa mingine, shirikiana na Mamlaka kupiga vita kilimo cha bangi

    MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa. Katika...
Back
Top Bottom