kilimo

  1. Shirika au site inayotoa training ya mambo ya Kilimo.

    Wakuu,, Hivi ni Mashirika gani au site gani zinazotoa ofa za training za Kilimo bure kwa muda mfupi, Iwe hapa Tanzania au nje ya nchi.. Nitashukuru sana nikijulishwa ili nijaribu kuomba kulingana na wakati uliopangwa kufanyika kwa mafunzo husika kulingana na Kila training/course.
  2. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  3. Influencers wetu na wataalamu wetu wa kilimo pengine kuna mengi hawajui

    Ubunifu kama huu wenye tija Ungelisaidia sana taifa kwenye kipato ajira na mazingira
  4. Ipi mbegu nzuri/bora kwa kilimo cha maharage soya ya njano?

    Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake. Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na sokoni. Natanguliza shukrani.
  5. Naomba maelekezo juu ya kilimo Cha tangawizi

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  6. Shikamoo kilimo

    Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!. Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year. Ila kila nikikaa machale yananicheza. Page pendwa yangu ikawa tma. Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani. Refer hapa...
  7. Historia fupi ya kilimo cha chai Mufindi Iringa

    Kilimo cha chai katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, kilianza wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwanzoni mwa karne ya 20. Wakati huo, mashamba ya chai yalianzishwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa, hususan katika wilaya ya Mufindi, ambayo ina hali ya hewa baridi na mvua za kutosha zinazofaa kwa kilimo...
  8. Jeshi la Magereza lakabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 kwa ajili ya kilimo

    Jeshi la Magereza lakabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 kwa ajili ya kilimo Jeshi la Magereza, kupitia Mkuu wa Wilaya ya Geita, limekabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 zitakazotumika kupandwa kwenye shamba lenye ukubwa wa ekari 65. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mh. Martine Shigella, alieleza hayo...
  9. Kama kila anayefeli anaambiwa akalime, basi kilimo kiwe somo la lazima kuanzia chekechea

    Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea? Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha...
  10. Rasilimali za kilimo, ufugaji na uvuvi na mchango wake katika uchumi wa Tanzania

    RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa. Miongoni mwa sekta hizi ni kilimo, ufugaji na uvuvi. Sekta hizi zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa...
  11. Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji

    Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Viet Nam, Mhe. Le Thi Thu Hang...
  12. Kilimo kinalipa wanangu wa NETO

    Kilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli. Majibu tuliyo nayo niya written tu
  13. A

    NINA SHAMBA EKARI 15, LIPO MBEYA- CHIMALA. NATAFUTA MTU WA KUUNGANISHA NAE NGUVU TUFANYE KILIMO CHA ALIZETI.

    Kilimo cha umwagiliaji kinawezekana pia kwakua shambani kuna miti inayotoa maji mwaka mzima. 0625012562
  14. NAOMBA kujua kuhusu kilimo Cha tangawizi?

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  15. UTALII WA KILIMO: Hiki ni kitu nilichokishuhudia wakati natafuta fursa za Kilimo Mkoa wa Iringa

    Habari za jioni wana JF. Katika kutafuta fursa za kimaisha baada ya kustaafishwa rasmi na Trump 😃😄😁😀. Niliwasiliana na jamaa yangu mmoja ambaye naye amestaafishwa na Trump ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye shirika moja la Kilimo huko Iringa. Jamaa alinieleza fursa za Kilimo kwenye Kulima...
  16. Nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi

    NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU! Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics. Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya...
  17. Umuhimu wa Kilimo cha mchanganyiko

    🌽🥦Kilimo mchanganyiko🍅🍏 Ni mazoezi ya kilimo ambapo mkulima hupanda mazao na kufuga mifugo kwa wakati mmoja kwenye kipande kimoja cha ardhi. Mfumo huu unaunganisha kilimo cha mazao na ufugaji ili kuunda mfumo endelevu na bora wa kilimo. 📌FAIDA ZA KILIMO CHA MCHANGANYIKO 1. Mapato Mseto...
  18. Mkulima akimbia baada ya kumuona DC, ni baada ya kupanda mahindi eneo lisiloruhusiwa kwa kilimo

    "Anajua hili eneo halitakiwi kufanywa shughuli za kilimo"- Remidius Mwema, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto ==== Mamlaka zilikuwa wapi mpaka mtu anaandaa shamba lenye ukubwa ambao hawezi kulianda kwa siku moja mpaka anapanda mahindi hadi yanaota ndiyo wanataka kuja kudhibiti, alikuwa akilima na kupanda...
  19. Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Habarini za saiz!? Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
  20. Jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha yangu

    Habar za mda ndugu zangu. Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana. NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa, nilizaliwa mkoani Tanga katika familia hata kula yetu ulikuwa Haina mpangilio wa ratiba, kunawakat tulilala njaa kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…