Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo.
Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni?
Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche
Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za uvunaji mzuri na wenye tija shambani.
Kiufupi nataka nisaidiwe elimu yote Kwa ufasaha kuanzia abc...
Ukiangalia sector ya kilimo na ufugaji hutupatia fedha nyingi na ajira nchini lakini serikali haiweki macho katika nyanja za mwanzo na zenue kuleta wataalam katika sector hizi.
Ukiangalia katika ufugaji na vyuo vyao majengo ni ya mwaka 1950 na ni maeneo wanayotakiwa kusomea maafisa wakuja...
Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
Hapa nazungumzia kilimo biashara, sio kilimo cha kutegemea mvua, ukimwambia mtu nataka niende nikalime kati ya watu 10, 9 watakukatisha tamaa, juu ya hasara waliowahi kuzipata kwenye kilimo, lakini hawatuambii walichokosea mpaka wakapata hasara kwenye kilimo, sasahivi mahindi gunia ni 90,000/...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Simiyu kumhamisha mara moja kituo cha Kazi Afisa Kilimo wa Wilaya ya Meatu, Thomas Shilabu kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu.
Aidha, Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoani Simiyu kuwabadilishia vituo...
Katika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa.
Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila mbolea ya samadi ila taweka NPK baada ya miezi 3 ikiwa imeshika.
Mpango wangu miche 450 ipone ili...
Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika hivi karibuni mjini Shanghai. Ili kutekeleza kihalisi hatua za ushirikiano zilizofikiwa kwenye Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024, eneo maalum la kuonesha bidhaa za...
Habari,
Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo.
1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini
2) Ukubwa? Ekari 100+
3) Umbali toka barabara kuu: 5km
4) Hali yake: halijalimwa mda kidogo
5) Bei?...600k kwa ekari 1 na linauzwa lote kwa pamoja sio kwa ekari moja...
Wakuu habari
Aliwahi kulima kilimo Cha bamia , naomba uzoefu
1. Mbegu nzuri yenye kukua Kwa haraka
2. Mbolea gani nzuri na dawa za kuulia wadudu
3. Upande wa sokoni
4.Kwa heka moja naweza kupata kiasi gani
Hapa, teyari Nina pump ya kumwagilia, shamba lipo , na maji Yana flow through...
Solar water pump, zinapatikana kwa bei ya punguzo.
Ili kujua bei na pampu inayokufaa tupe maelezo yafuatayo
-Aina ya chanzo cha maji.
-umbali toka chanzo hadi maji yapohitajika kufika.
-mwiunuko upo au haupo,
-urefu wa kisima .
-na matumiz ya kilimo au matumiz ya nyumbani.
Kumbuka pampu zetu...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
Kwa kutumia teknolojia aliyojifunza nchini China katika shamba la maskani yake, Augustine Phiri ameweza kuongeza mavuno ya mahindi katika shamba la mfano nchini Malawi, kutoka tani 2.1 kwa ekari moja mwaka 2023 hadi tani 8 kwa ekari moja mwaka huu, ikiwa ni karibu mara nne ya mavuno ya mwaka...
Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi hilo halina mashiko na wakaiomba Mahakama ilitupilie mbali.
Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Mpina...
Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa.
Hapa kitaa kuna jamaa yetu baada ya kutoka SUA Moja kwa Moja, alianza kujifunza kunyoa na baada ya kujua Leo hii ana...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amempongeza Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kwa kuendelea kuonyesha uzalendo katika kuendeleza sekta ya Kilimo.
Waziri Bashe ameeleza hayo wakati akizungumza na Wananchi wa kata ya Ushetu akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Shinyanga ambapo...
Nimefanikiwa kupata ardhi yenye ukubwa wa ekari 200. Ni eneo ambalo bado ni pori. Huenda halijawahi kulimwa tokea liwepo, pengine.
Kwa kuwa ni eneo kubwa, ninakusudia kulifanyia kazi taratibu, kwa kadiri nitakavyokuwa nikipata nguvu (kifedha).
Kwa kuwa eneo lina miti mingi, nitafanya utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.