kilimo

  1. P

    Kilimo cha dagaa wa Mwanza

    Nahitaji kulima dagaa Mwanza, hasa maeneo ya Kabuku mkoani Tanga. Kwa yeyote anayeuza eneo au shamba KABUKU -TANGA TUWASILIANE 0713383604
  2. Nigrastratatract nerve

    Rais tumtakaye 2025 kwenye sekta ya kilimo afanye yafuatayo

    Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia: 1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
  3. ndege JOHN

    Kwa kijana anayejitafuta kwa sasa ni bora ufugaji kuliko kilimo au biashara

    1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua 2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba 3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea, nguvu kazi, chakula na bei yake haishuki daima hupanda mfano kuku bei ya 15000-20000 imedumu kwa miaka...
  4. Ojuolegbha

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni. Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja, Mze Mohamed Ibrahim, wafanyabiashara wa Tanzania walikutana na wenzao wa...
  5. H

    Zifahamu changamoto za kwenye kilimo zilizo kubwa

    Kilimo ni UTI wa mgongo Kilimo ni maisha Kilimo ni utajiri Kilimo ni chakula. Kilimo ni pesa na utajiri. Kilimo kina faida Pana na kina maelezo mapana ukielezea kiundani ndani. Leo tutatazama changamoto chache na kuu zilizopo kwenye kilimo Kwa watu walio kwenye kilimo tutaelewana na wanao...
  6. Wernery G Kapinga

    Kilimo cha uyoga

    Habari wadau wote wa JF. Binafsi Niko kwenye maandalizi ya KILIMO Cha UYOGA. Hivyo nataka nianze kidogo kwa ajili ya familia. Nimesoma na kuangalia kwa umakini kabisa, Nataka nianze kwanza kwa ajili ya familia. Changamoto kwangu ni upatikanaji wa mbegu. Tafadhali mwenye ushauri huu ya hili...
  7. M

    Mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi yanakuwaje?

    Nikiingia mtandaoni nasoma kwamba Tanzania inauza nje ya nchi mazao ya kilimo kama vile mahindi, mchele, maharage, viazi n.k kwa matani na matani. Mtanisamehe kwa unyenyekevu wangu na uwazi wangu pengine na ujinga wangu pia. Ila mauzo yanafanyikaje fanyikaje je watu binafsi kama vile wakulima...
  8. BLACK MOVEMENT

    Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  9. Pascal Mayalla

    Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
  10. BLACK MOVEMENT

    Ni kilimo kipi hicho ambacho Raisi anatamba sana kukikuza? Sikioni mimi, wewe unakiona?

    Ukienda Kanda ya Ziwa kilimo cha pamba kimekufa na ile mikoa sasa ina idadi kubwa sana ya masikini kwa sababu moja ya zao walilo kuwa wanategemea sana enzi na enzi lisha kufa. Kahawa mikoa ya kaskazini inaendekea kufa,Kilimanjaro kule hakuna mtu anataka kulima kahawa tena, kote huko Arusha na...
  11. Mgeni wa Jiji

    TAFAKARI: Sikukuu ya wakulima 8/8 kufunikwa na mechi kati ya Simba na Yanga, je Watanzania wa leo hawahitaji tena kilimo?

    Wasalaam JF Nimejaribu kufuatilia vituo vingi vya habari na hata mazungumzo ya baadhi ya maeneo niliyopo na kushtushwa na kupotea kwa umaarufu ya sikukuu ya wakulima 8/8. Katika fuatiloa yangu nimegundua kuwa mechi ya juzi ya watani wa jadi ni kama nayo imepigilia msumari wamoto kwenye...
  12. Ojuolegbha

    Rais Dkt. Samia kushiriki kikao na Maafisa Kilimo

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  13. Roving Journalist

    Agricom yaikabidhi Serikali Trekta 500, Power Tillers 800 na vifaa vingine vya Kilimo

    Kampuni ya Kitanzania ya Agricom imekabidhi vifaa na zana mbalimbali za kisasa za kilimo kwa serikali kupitia Wizara ya Kilimo, wakati wa maonyesho ya Nane Nane yaliyofanyika Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan, ambaye alishuhudia...
  14. Pfizer

    Equity, PASS na MCODE kukuza mnyororo wa thamani katika kilimo

    WAKULIMA nchini wameshauriwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na taasisi za kilimo pamoja na kibenki zinazolenga kuwawezesha kukuza mnyororo wa thamani katika sekta na hatimae kuchangia pato la taifa. Haya yameelezwa mkoani dodoma katika maonesho ya kilimo na ufugaji maarufu nane...
  15. S

    Bashe hadi sasa bado ni Waziri wa Kilimo? maajabu ya dunia

    Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga sheria ya kuua viwanda vyao, tumemsikia Mheshimiwa Rais akilalamikia suala la uagizaji sukari nje...
  16. Anikajema

    Nahitaji connection ya kilimo cha kitunguu swaumu

    Habari wakuu, nahitaji mtu anaelima au anayenunua kitunguu swaumu hii nikwaajili ya ushauri na kujifunza Zaidi Kuhusu kilimo hichi, nipigie au nitext hapa 0613389628 au Ni dm, nitakushukuru.
  17. DALA

    Nahitaji shamba la kununua kwa ajili ya kilimo na ufugaji

    Habari mabibi na mabwana? Naomba mwenye kujua yanapopatikana mashamba ya bei nafuu, mashamba yanayofaa kwa shughuli za kilimo na ufugaji anifahamishe. Ningependa kufahamu bei kwa ekari na ukubwa. Mimi ni mjasiriamali mdogo hivyo mtaji wangu pia siyo kubwa kihivyo. Naomba kusaidiwa.
  18. H

    Madawa ya kilimo na madawa wanyama Kuna shida mahali

    Hivi naomba kujua na kufahamu madawa ya kwenye mazao na kilimo na mifugo huwa majaribio yake wanayafanyiaga wapi? Kuna maduka mengi yanauza madawa ya mifugo pamoja na madawa ila haya madawa mengi yamekuwa hayana matokeo Bora Kwa wakulima na wafugaji. Nikiwa kama mkulima n mfugaji na nikiwa n...
  19. D

    Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa atoke alipo aingie

    Sio kwa ubaya na wala sipo hapa kusema anachokifanya ndugu mwalimu ni kitu kibaya lakini nataka niwakikishie hii sio njia sahihi ya kujifunza biashara ya nafaka.Hapa mtaishia kujifunza baishara na kilimo cha makaratasi. Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa...
  20. M

    Naishi Arusha nataka kulima Tanga, naomba ushauri

    Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8. Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata muda wa kutembelea shamba mara moja au mbili kwa mwezi
Back
Top Bottom