kilimo

  1. Maneno ya Rais Ruto kuhusu kilimo ni ya kuwapumbaza Watanzania

    Wasalaam nyote, Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na...
  2. M

    Nimemcheka sana rafiki yangu kutoka Ghana kwenye kilimo cha Almond nikamkumbuka mzee wa Madungu jeshi kwenye kilimo cha Canola

    Mzuka Wanajamvi, Huyu Mghana tulikuwa tunabeba naye boksi pamoja. Akaomba mkopo benki akapewa kama/equivalent dollar za marekani elfu 40. Hela ilivyoingia benki yani ilikuwa fujo. Kesho yake hakwenda kazini na kuacha kazi hata bila kutoa taarifa. Akaniita tupige pombe. Nakunitambia hela na...
  3. Serikali Kufufua Kilimo cha Umwagiliaji Kwenye Bonde la Bugwema

    AHADI YA MHESHIMIWA RAIS YATEKELEZWA - SERIKALI KUFUFUA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KWENYE BONDE LA BUGWEMA Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokea na kukubali ombi la kufufua kilimo cha Umwagiliaji kwenye Bonde la Bugwema la Musoma Vijijini. Ombi hilo la Wana-Musoma Vijijini liliwasilishwa kwa...
  4. Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Kama unataka Mali basi utaipata shambani, Mimi nimeamua kuunga juhudi nikashinde na kuteketea shambani huko labda tutatokea huko, nilichogundua biashara sio kwa ajili ya Kila mtu huko competition+uchawi ni mkubwa. Mtaji wa kilimo kianzio kama million 5 upo, nataka nilime kwa kutegemea...
  5. Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, kuna shida gani kwenye Website yenu kipengele cha careers?

    Habari za majukumu great thinkers? Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote...
  6. Kilimo chaongoza kuchangia pato la taifa kwa robo ya kwanza ya 2023

    Mchango wa Sekta Kuu kwa Ukuaji wa Pato la Taifa Tanzania Mwanzoni mwa 2023. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wachangiaji wakuu wa ukuaji wa Pato la Taifa la Tanzania katika robo ya kwanza ya mwaka 2023 walikuwa: 1. Kilimo: Sekta ya kilimo ilirekodi kiwango cha ukuaji cha...
  7. Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Kaka millard ni exception, katoka mbali sana huyu. Nimekuwa nikiona baadhi ya vijana hasa hawa wa chuoni na wahitimu wenye kujua jua kutumia vilaptop wanapotoshana mambo ya youtube, blogging, sijui app, adsense, n.k. kwamba kuna pesa Ni kweli haya mambo kwa wenzrtu huko yanalipa na watu...
  8. Hiki Kipimo naweza kukipata Pharmacy?

    Eti wakuu hiki Kipimo cha HIV naweza kukipata kwenye Pharmacy shop?
  9. Heko wana uzi wote mnaojitolea mafunzo ya kilimo yamenipa tija

    Wadau mwezi huu mwishoni Mungu akipenda navuna nyanya shambani kwangu Nimejaaliwa kulima heka 3 na zimebeba vizuri. Shamba lipo morogoro eneo la Dakawa. Ninachojivunai zaidi nimejifunzia humu humu Jamii forum kilimo hiki. Heko kwa wote ambao mmekuwa mskijitolea kutoa mafunzo mbali mbali...
  10. Kassim Majaliwa: Watanzania tufanye maamuzi ya kuingia kwenye kilimo na mifugo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla. Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa...
  11. Kijiji gani ardhi yake ina rutuba, na gharama za kilimo ziko chini?

    Sasa ni muda muafaka kwa vijana kuingia kwenye kilimo. Najua vijijini gharama za kilimo huwa chini, unaweza kubahatisha mashamba yenye rutuba na yanakodishwa kwa bei nafuu. Na pia katika kuimarisha umoja katika maeneo hayo, wanakijiji hao hao wanakuwa vibarua kwenye hayo mashamba, ambapo...
  12. Mbunge Condester Sichalwe aendesha Semina ya Kilimo Chenye Tija Kata ya Myunga JImbo la Momba

    Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya kikao cha ndani kilichowakutanisha viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Myunga na Mtaalamu wa Kilimo kutoka Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko na Benki ya NMB Mbunge...
  13. U

    Serikali iruhusu kilimo cha bangi na ipunguze masharti ya uingizaji wa fedha nchini ili kukabili uhaba wa dola

    Kwanza Niwaambie nyie wananchi inawezekana ndani ya Miezi sita ijayo Kwa hali inavyoendelea fedha zenu mlizoweka bank na kwenye vibubu zitashuka thamani na zitakukuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi. Hali hii inatokana na Shilingi ya Tanzania kuendelea kushuka thamani kadri siku...
  14. J

    Waziri Bashungwa: JKT tupo mstari wa mbele kuwapika vijana kushiriki katika kilimo

    BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO "Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Kilimo umeleta tija Kubwa sana katika Kilimo chetu Kwa sasa. Pia Sisi...
  15. SoC03 Kilimo mkombozi wa nchi

    Kama ningepewa nafasi kuongea na viongozi wangu wa Tanzania kuhusu sekta moja inayo hitaji uwajibikaji kati ya sekta nyingi zenye chanagamoto ningechagua kilimo. kwani haya ndio ndio natamani kuyajadili zaidi. Tanzania ni moja ya nchi duniani zinazo sifika kwa kilimo. Mazao kama mahindi...
  16. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Kilimo ni Nyenzo ya Kuinua Uchumi

    Uwajibikaji na Utawala Bora katika Kilimo ni Nyenzo ya Kuinua Uchumi Utangulizi Tanzania, kama nchi inayojivunia utajiri wa rasilimali za ardhi na kilimo, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wake kupitia sekta ya kilimo. Hata hivyo, ili kufikia mafanikio haya, uwajibikaji na utawala bora katika...
  17. C

    SoC03 Madhara ya Kukosekana kwa Viwango: Uchambuzi wa Kina juu ya Jinsi Sekta ya Kilimo Inavyoathiriwa na Ukosefu wa Ubora na Ushindani

    Utangulizi Kilimo na uzalishaji wa bidhaa za mifugo ni sehemu muhimu ya uchumi wa Tanzania, ikiwapatia kipato watu wengi na kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye Pato la Taifa. Hata hivyo, kutokuwa na viwango madhubuti vinavyosimamia sekta hii kumekuwa na changamoto nyingi ambazo zinazuia uwezo wa...
  18. Yuko wapi Bashe na kilimo chake? 'DPWedi' kila wizara!

    Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu. Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo...
  19. M

    SoC03 Mabadiliko haya katika elimu yatachochea uwajibikaji

    Moja, kuanzisha somo mahsusi la katiba na sheria kuanzia shule ya msingi na ngazi ya sekondari. Mabadiliko haya katika mtaala wa elimu yatachochea watu kujua sheria na umuhimu wa kuzitii na kufuata sheria katika maisha ya kila siku. Maudhui ya somo hilo ni katiba ya nchi na sheria zake. Ni...
  20. S

    SoC03 Kilimo cha umwagiliaji Tanzania

    Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa vyanzo vingi vya maji na ardhi kubwa na yenye rutuba Kutokana na ufinyu wa ajira juu ya vijana wetu waliomaliza vyuo na kubaki majumbani wakisubiri ajira, serikali kupitia wizara yake ya kilimo ingetumia nguvu kubwa juu ya vijana kujikita katika kilimo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…