Kilimo ni sekta muhimu katika maendeleo ya nchi nyingi za Afrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania. Kupitia kilimo, kuna uwezekano mkubwa wa kuleta mabadiliko chanya katika jamii, ikiwa ni pamoja na kuboresha maisha ya mkulima, kukuza uchumi wa taifa, na kupunguza utegemezi wa uagizaji wa chakula...
MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI
Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo kuanzisha dawati maalum la kusikiliza na kushughulikia kero za wafanyabiashara kutokana na changamoto...
DUNIA inabadilika pale miaka inaposogea, ya sasa siyo ya jana. Tuanapozungumzia mabadiliko tunazungumzia tabia ya nchi, mambo ya leo siyo yatakayokowepo kesho na siku zijazo baada ya kesho.
Mabadiliko ya nchi si neno geni sana, kila mtu anafahamu na athari zake. Na Dunia imetuletea msamiati...
Maana ya neno kilimo
Kilimo ni shughuli muhimu ya uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara.
Huu ni mchango mkubwa kwa jamii ya Tanzania kwa sababu zaidi ya asilimia 75 ya ajira zote zinategemea kilimo na zaidi ya asilimia 50 ya Pato la taifa hutokana na sekta hii ( kwa mujibu wa tovuti kuu...
Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa.
Bei.
Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000.
2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh 2,300,000
2hp ya surface lita 30000 kwa saa Tsh 3,000,000. zipo pia za mita hadi 150.
0747591578...
Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania
Natanguliza shilukrani
Napatikana kupitia email yangu: yitzhakedward@gmail.com
Kilimo kitaendelezwa na upatikanaji wa soko la uhakika.
Kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania tulikuwa tumeanza kukamata masoko ya chakula katika nchi jirani kama Kenya na Kongo.
Tunasikia jinsi ambavyo kenya inahangaika na uhaba wa chakula, badala ya watanzania kuplani hawa ndugu zetu kuchukua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023.
Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Ili kuchochea uwajibikaji kwenye nyanja ya kilimo na ufugaji nchini Tanzania, hatua muhimu zinahitajika kuchukuliwa. Uwajibikaji unahusisha uwazi, kushirikisha wadau wote, na kuweka mfumo wa ukaguzi na adhabu kali kwa ukiukwaji wa kanuni. Hapa chini ni orodha ya hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa...
Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya;
1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata million mbili...
Uchumi wa nchi yetu utegemee zaidi kilimo kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania basi sekta hii ipewe bajeti nzuri kwa ajili ya wakulima (mikopo) na kupunguza garama za pembejeo mfano mbolea za viwandani, viuwa tilifu, mashine za shambani pamoja na kupunguza garama za uwekaji mazao kwenye...
Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi.
Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
Nilikuwa nasoma bajeti ya elimu.
Nimeona mambo mazuri ya vyuo vya ufundi vya cheti, astashahada, stashahada na shahada, na kuona kila wilaya inatarajiwa kuwa na chuo cha veta na vinginevyo. Najua ni jambo jema. Lakini havyo vyote na vya kujiajiri na wanahitaji kula.
Ninachojiuliza kwanini...
Mapinduzi ya viwanda yalileta mwamko mkubwa sana katika mataifa ya magharibi katika uzalishaji mali na kuudondosha mfumo wa “utumwa” baada ya kutengeneza zana bora za kiutendaji ambazo zilianza kufanya kazi zilizokuwa zikifanywa na watumwa pamoja na wanyama na zikaja kuwapiku kwa kuongeza...
Kilimo ni sekta muhimu yenye kuleta mapinduzi makubwa kwenye nchi yetu mapinduzi hayo kama VIWANDA, BIASHARA ZA NDANI NA NJEE, ELIMU BORA, UJUZI, NA AFYA KWA JAMII.
Uwajibikaji ungekuwa kama ifuatavyo elimu ya kilimo ingeanza kufundishwa kuanzia shule za msingi na sekondari na ingekuwa lazima...
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kushawishi sera mbadala za kuondoa watu kwenye umasikini ikiwemo ya Hifadhi ya Jamii kwa wote itakayohakikisha kunakuwa na Bima ya Afya kwa wote.
Chama hicho kimesema haikubaliki kuwa asilimia 61 ya watu masikini nchini Tanzania wapo mikoa ya...
Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea.
Altitude yake ni m800 mpaka m1200.
Je eneo hilo ndizi zitafanya vizuri? nimeona mashamba ya ndizi za moro zile fupi...
Wafanyabiashara wa kitanzania wanaosafirisha mahindi kuingia nchini Kenya wameandamana kwenye mpaka wa Holili kufuatia kuzuiliwa kuingiza shehena za mahindi na Kenya.
Msururu wa maloli umekwama mpakani hapo kufuatia mamlaka za Kenya kuweka kigingi na kuzuia mamia ya maroli hayo kuingia nchini...
SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki ameuliza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maswali yaliyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.