Habari wana JF, natafuta kazi.
Nina degree ya horticulture nimeipata chuo Cha SUA.
Umri: Miaka 25
Experience: 1 year
Jinsia: Me
Mkoa: Mbeya
Pia Nina uzoefu na ujuzi mkubwa wa computer yaani software maintenance na kutumia application (Microsoft office"excell, word, publisher", Photoshop )