M/S Meru Agro-Tours & Consultants Co. Ltd (MATCC) is a local private company based in Arusha that specialized in Agricultural inputs business. The company deals with multiplication and distribution of agro seeds; importation and distribution of agrochemicals and provision of technical advisory...
Bangi ni zao ambalo limepigwa marufuku hapa nchini kulimwa japo baadhi ya nchi zao hili ni "tukufu". Bangi ndio zao linalolipa zaidi dunia kutokana na kua na soko la uhakika na bei yake sio fluctuate kama mazao mengine. Hii hapa Mikoa inayolima Bangi hapa nchini kwa matumizi ya ndani na nje...
Pongezi kwa Serikali ya Samia kwenye Sekta ya Kilimo.
Kupitia serikali hii ya Rais Samia jitihada nyingi sana zinafanyika katika kufanya mapinduzi ya Kilimo nchini ili ile slogan tunayotembea nayo siku nyingi “Kilimo ni uti wa mgongo wa Mtanzania,” iwe na uhalisia.
Wengi tumeliona hili...
MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma.
----
ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
Kilimo ni sekta ambayo kwa asilimia kubwa inachangia katika Pato la taifa ambapo inahusisha mazao ya chakula na mazao ya biashara,na asilimia kubwa ya Watanzania wanategemea kuendesha maisha yao kutokana na sekta ya kilimo.
Tufanyeje Ili kuongeza uwajibikaji katika sekta ya kilimo
Kuwasaidia...
Wakuu tafadhali Kama kuna mtu anajua mashamba ya kukodi kwaajili ya kilimo mwaka huu maeneo Dakawa naomba kujuzwa
@whats app no 0629931610
Kama unajua kuhusu au unakodisha tafadhali wasiliana na mim kwa namba hiyo juu
Jana niliona kwenye mitandao ya kijamii wananchi wakilalamika kuchukuliwa eneo lao na Taasisi ya Kilimo Uyole. nilipofuatilia hili suala ni kwamba lilishafanyiwa maamuzi miaka mitatu iliyopita na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Mh Lukuvi kwa kuwarudishia wananchi hekari zao 67 ambazo kilimo...
WAZIRI MHE. ABDALLAH ULEGA AHIMIZA UWEKEZAJI MIFUGO, UVUVI & KILIMO
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewahimiza Mawaziri Wenzake wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia Kilimo, Chakula, Uvuvi na Ukuzaji Viumbe Maji kushirikiana na Sekta Binafsi...
Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo.
Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri halisi kuwa hata Wananchi huko wanakolima hawatathamini kilimo na baadae wageni wawekezaji watakuja...
Habari zenu,
Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia kupanua maarifa na ujuzi katika sekta hizi.
Vitabu hivyo viwe katika mfumo wa (softcopy) yaani PDF...
Utangulizi
Sekta ya kilimo ni uhai wa Taifa. Ni sekta muhimu sana nchini Tanzania, ambayo inachangia sehemu kubwa ya pato la taifa, ajira kwa wananchi wengi na usalama wa chakula. Hata hivyo, kama ilivyo kwa nchi nyingine, sekta hii inakabiliwa na changamoto nyingi ambazo zinahitaji...
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya kilimo katika nchi yoyote ile. Kilimo ni sekta muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na kuinua hali ya maisha ya wananchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi...
Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu
Utangulizi
Tunapozungumzia kilimo na mifugo katika nchi yetu ya Tanzania tunagusa Nyanja ambazo kwa muda mwingi zimebaki kuwa mihimili ya vyanzo vya mapato kwa jamii nying sana za kitanzani shughuli hizi mbili daima zimekuwa na mchango mkubwa...
Kuna nguvu ilitumika sana kwenye suala la mbolea mwaka jana, nyimbo zilitungwa na sifa ziliimbwa kwa waziri bashe kuhusu mbolea ya ruzuku.
Bashe akasema anataka kumuinua mkulima ndio maana anasaidia wakulima wote wapate mbolea ya ruzuku.
Hafla ya mbolea ya ruzuku kwa wakulima ilifanyika mbeya...
Nimemsikiliza waziri wa elimu akisisitiza kwamba sera mpya inatimiza matakwa ya rais. Sasa hapo ndo mwanzo wa ujinga wetu. Rais siyo mtaalamu wa elimu. Sera siyo ya rais, kwa nini sera mpya iwe inayotoa majawabu kwa rais?
Sera hii kama itapitishwa kama kawaida yetu kwa vision ndogo ya aina hii...
BONDE la Bugwema na Bonde la Suguti yaliyopo katika Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara yako kwenye bajeti ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2023/2024 iliyopitishwa na Bunge siku ya Mei 9, 2023 ili kuwezesha kilimo cha umwagiliaji kufanyika jimboni humo.
Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la...
JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira.
Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16!
Hebu tuongelee tabia na maelezo ambayo aliyatoa juu ya kilimo. Huu ni uchafu tu! Yaani waziri...