kilimo

  1. A

    SoC04 Kilimo ni sekta mama hapa nchini haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI. Pamoja na jitihada za serekali katika kuimarisha sekta ya kilimo lakini bado Kuna changamoto nyingi ambazo ni vifaa duni,ukosefu wa mitaji,ukosefu wa elimu,kukosekana Kwa masoko ya uhakika, bidhaa kukosa ubora unaotakiwa sokoni na kukosa namna bora ya kuhifadhi mazao Yao n.k Hivyo...
  2. Twinawe

    Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

    Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya . Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara. Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
  3. SOVIET UNION

    SoC04 Tujandae na kuisha matumizi kwa baadhi ya maliasili tulizo nazo

    TUJIANDAE NA KUISHA MATUMIZI KWA BAADHI YA MALI ASILI Mwisho wa matumizi ya baadhi ya Mali asili uko karibu sana, kama nchi tujiandae na tuchukue hatua sasa. Mali asili ni moja ya utajiri wa asili kutoka kwa Mungu, ni utajiri ambao upo tangia kuumbwa kwa Dunia hii. Ukisoma historia biashara...
  4. K

    Nimemkubali Bashe kuwa yuko imara katika kuiongoza wizara ya kilimo

    Nimemsikia Mhe. Bashe akihitimisha hotuba yake ya Bajeti ya Kilimo 2024/25 kwa kweli Mhe. Bashe yuko vizuri na imara katika kuongoza Wizara ya Kilimo. Mhe. Bashe amezungumzia zao la ufuta, korosho, pamba, kahawa na mazao mchanganyiko. Kwa maelezo yale kama Serikali itifanyia kazi ushauri wake...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Akimpongeza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohammed Bashe baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Bajeti ya Wizara ya Kilimo...
  6. X

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kilimo biashara kitainua uchumi wa nchi na kuondoa umasikini

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
  7. Edson Eagle

    SoC04 Serikali ifanye haya kwenye kilimo kuhakikisha taifa linapiga hatua

    Serikali itizame katika mambo yafuatayo ili kuhakikisha Tanzania tunapiga hatua katika kilimo kwa miaka ijayo. 1. Kuhakikisha wakulima na wafugaji wanapewa elimu itakayowaongoza katika kutengeneza kilimo kilicho bora na chenye manufaa makubwa. 2. Kuwe na utaratibu mzuri utakao wainua wakulima...
  8. Pfizer

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inaendelea kuchukua hatua mahsusi za kuimarisha kilimo cha umwagiliaji

    WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa amesema serikali inaendelea kuchukua hatua mahsusi za kuimarisha kilimo cha umwagiliaji kwa kujenga miundombinu na kuongeza bajeti. Aidha amezielekeza Halmashauri zote nchini kuweka mpango mahsusi wa ardhi kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji. Majaliwa...
  9. J

    Maonyesho ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo kuanza Aprili 30 Dodoma

    MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA 30 APRIL, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye...
  10. mwanamwana

    Muheza: Wanakijiji wamjeruhi Afisa Kilimo na kuchoma gari lake wakimtuhumu kushindwa kusimamia maslahi yao

    Wananchi wa Kijiji cha Kambai, kilichopo Kata ya Kwezitu, Wilaya ya Muheza, Mkoa wa Tanga, wamewasha moto gari la Afisa Kilimo wa Kata ya Tongwe jirani, aina ya Suzuki, na kumjeruhi. Wanaoshutumu afisa huyo wanadai kwamba ameshindwa kusimamia maslahi ya wananchi, hivyo kuruhusu wawekezaji...
  11. J

    Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  12. A

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa kilimo hiki, hivyo ilikuwa nikiweka mbegu shambani. Ililazimu jirani angalie nitaivisha wakati gani...
  13. P

    Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

    Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
  14. The Sheriff

    Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Kisingizio alichopewa ni eti kumekosekana mhandisi hivyo wakaona ni bora Mhandisi wa Kilimo angalau alete...
  15. A

    DOKEZO Kasulu: Eneo la NYAKITONTO, Kamchape wanahatarisha usalama wa raia na Polisi wapo kimya!

    Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza. Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    DC Ludewa Abeba Ajenda ya Kilimo, Aweka Mikakati Zao la Kahawa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias na Wataalam wa Idara ya Kilimo Wilaya ya Ludewa- wametembelea Kiwanda cha City Coffee kilichopo Mbeya- kwa ajili ya kikao kazi cha kuongeza tija kwenye zao la Kahawa...
  17. I

    Mambo makubwa aliyofanya Rais Samia kwenye sekta ya kilimo

    Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970. Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula. Ameipatia wakala wa...
  18. mirindimo

    Picha: Kijana wa BBT akiwa amempigia Magoti Waziri wa Kilimo

  19. nyamchele

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefunguka akisema waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kutoka nje, kwa kuwa Tanzania ina hazina...
  20. N

    Kilimo cha vitunguu maji

    Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka mingi iliyopta mfn 2010! Mambo yamebadlika Sana kipind kile unakuta mtu anazungumzia kuuza gunia kwa...
Back
Top Bottom