kilimo

  1. Vijana 260 Wapelekwa Israel Kujifunza Teknolojia ya Kilimo Cha Kisasa

    Baada ya mafunzo watarudi Tanzania kueneza ujuzi huo Kwa wenzao Kwa Kuanzisha mashamba darasa. ===== DAR ES SALAAM SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Israel wameendelea na jitihada za kukuza ujuzi kwa vijana kwenye sekta ya kilimo, ambapo takribani vijana 260 wanapelekwa nchini Israel...
  2. Serikali waambieni vijana kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa na kwao kama wananchi

    Tabu laaaa tabu leeeee!!!! Bandiko langu litakuwa fupi lenye lengo na madhumuni ya kuikumbusha serikali faida na umuhimu wa kilimo katika taifa na hivyo kutilia mkazo wa nguvu kwa vijana kuacha kushinda kwenye mitandao na kwenye majumba ya kamari kama mbadala wa ajira kwao. Mwanzo nianze kwa...
  3. Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

    Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine. Mashabiki wa hayo magaidi...
  4. Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

    Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi Panya Njiwa Ndege Kware Panzi Mchwa Vibaruti Beetle Serikali Majongoo Konokono Halmashauri Mafuriko...
  5. Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  6. M

    Rasmi nawekeza kwenye kilimo

    Nafanya biashara za nafaka na mazao, Nina shamba na mifugo, nina duka na gari za mizigo, nimeajiriwa kama mwalimu wa serikali nk. Nina ujuzi mkubwa Tu na experience ya miaka mingi kwenye Dunia ya pesa,Shughuli zote nilizotaja nimerithi kutoka kwa marehemu mzee Wangu kasoro ualimu...
  7. Benki ya AfDB yaidhinisha Mkopo wa Tsh. Bilioni 165.6 kwaajili ya kusaidia Benki ya Kilimo Tanzania (TADB)

    Mkopo huo umeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwaajili ya kuiongezea uwezo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Kwa mujibu taarifa ya AfDB, Benki ya TADB itapokea nyongeza ya Tsh. Bilioni 3 kwaajili ya kuwezesha awamu ya pili ya Mpango wa Kusaidia...
  8. Shuhuda za utajiri utokanao na kilimo Tanzania

    Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walioamua kuingia kwenye kilimo baada ya kugundua kuwa kilimo kinalipa kuliko biashara zao za awali. Na, kwa mujibu wa huu uzi, kilimo...
  9. Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

    Siku chache zilizopita, nilimtembelea mkulima mmoja wa matunda nchini Kenya. Taswira ya shambani kwake ilinipa ujumbe kuwa ni mkulima mwenye mafanikio mazuri. Japo hana na eneo kubwa sana, analitumia kikamilifu eneo lililopo. Sidhani kama shamba lake lote linazidi ekari tano! Aliniambia kuwa...
  10. Kilimo kinalipa sana

    Njmeshazisoma nyuzi kadhaa humu jamvini zinazohamasisha kilimo. Pamoja na kwamba ni nyuzi za kuvutia, kuna watu wameonekana kuwa na mashaka na hata kuwaita MOTIVATIONAL SPEAKERS watoa mada husika. Na wengine, katika kuonesha kutokukubaliana nao, huziita ni kilimo cha kwenye makaratasi. Lakini...
  11. J

    Wadau naombeni ushauri

    Nipo chuo nasoma Diploma in Clinical Medicine lakini nafikiria kuanza kilimo cha mihogo maeneo ya kisarawe naombeni ushauri, maoni mtazamo hata kama kuna idea tofauti msaada wenu 💡
  12. Israel ina nini tusichokuwa nacho hata watuzidi katika kilimo?

    Angalia! ~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu. ~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo...
  13. Kumiliki Mashamba Ya Kukodisha Kwa Ajili Ya Kilimo Cha Mazao Ya Chakula, Mazao Ya Biashara Na Bustani

    Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi. Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
  14. Msaada katika biashara ya pembejeo za kilimo

    Habari wandugu . Naomba kuelimishwa vibali na leseni zinazoitajika katika ku run biashara ya pembejo .... Na usharu kwa ujumla wa biashara tajwa .. lengo kuifanya kwa ujumla na rejareja
  15. Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awahimiza Wawekezaji wa Ndani na Nje ya Nchi Kutumia Fursa Zilizopo katika Mkoa wa Tanga ikiwemo Biashara, Kilimo, Viwanda

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) alitoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi bila kukwamisha biashara. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Novemba...
  16. Tafadhali nishauri nipande mbegu aina gani yenye matokeo chanya?

    Wapendwa ndugu zangu, majirani, marafiki na familia ya wakulima wa mazao mbalimbali maeneo tofauti nchini,. Habari za kazi, majukumu na maandalizi ya msimu wetu pendwa wa kilimo? Nimewiwa kuwasabahi na kuwatakia Neema na Baraka za Mwenyezi Mungu katika maandalizi kabambe ya kuingia rasmi tena...
  17. Hoja ya kuwahamishia maafisa ushirika katika tume ya maendeleo ya ushirika na maafisa ugani chini ya Wizara ya Kilimo

    (Chini ya Kanuni za 60(2) na 61 za Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari, 2023) Mheshimiwa Spika, natambua kuwa mwaka 1998, Serikali ilifanya mabadiliko ya Muundo wa Serikali na kufanya uamuzi wa kugatua madaraka (Decentralization by Devolution) kutoka Serikali Kuu a kuyashusha ngazi ya...
  18. L

    CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kuingia katika soko kubwa la China

    Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
  19. Jinsi biashara ya real estate, madini na kilimo kinavyozidi kunitajirisha japo mie ni darasa la saba na nipo chini ya miaka 30

    Japo nimeishia darasa la saba na umri wangu chini ya miaka 30 na sikuweza au nilikataa kuendelea na elimu baada ya kuona ya kwamba elimu ya Tanzania ni ya hovyo nikaamua kuingia street kupambana na maisha. Nilitoka nyumbani kwetu Mtwara nikajichimbia mkoa wa Kahama kwenye uchimbaji madini miaka...
  20. O

    Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

    Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana mwenzangu unashindwa nini? Nyie sio kazi.yenu kupiga majungu na uzandiki vijiweni? Na wengine kazi kuvuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…