😭😭😭
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.
Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.
😭😭
Wanawake mbona mna makusudi...