Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana.
Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT.
Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
Serikali pamoja na vitengo vyenu vinavyonunuwa mahindi mnatutia hasira wakulima, hebu fikiria toka tumepeleka mahindi mwezi wa 8 hadi sasa hatujapata malipo yetu.
Hiki kilio si mimi ninayeandika ndiyo naumia peke yangu na kurudishwa nyuma malengo yangu bali wapo wengi nyuma yangu zaidi ya 50...
Muonekano wa sehemu ya Dampo Bakhresa ulivyo wakati wa msimu huu wa kiangazi.
Miaka zaidi ya 10 iliyopita wamiliki wa Makampuni ya Bakhresa, walifika katika Kata ya Vikindu, Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kununua eneo kwa ajili ya kutupa taka.
Kwa wakati huo asilimia kubwa ya eneo lilikuwa...
Anonymous
Thread
afya
bakhresa
fichua uovu
hatari
kazole
kijiji
kijiji cha kaxole
kilio
wananchi
Nakaa huku uswahlini chumba
hakina siling bodi na ukuta
unaotenganisha chumba na chumba si mrefu kiasi unaweza ukaruka kuingia chumba cha pili
Sasa hapa napokaa jirani wa chumba cha pili akitaka kufika mulima Meru lazma aangue kilio jamaa analia kilio cha kwikwi huwa nasikia mkewe
anamwambia...
MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA
Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023.
Wakulima hao wamesema...
UHABA WA DAWA NA VIFAATIBA NI KILIO KIKUBWA KWA JAMII NI VYEMA SERIKALI KUHAKIKISHA HALI HII INAKOMA
Utangulizi
Uhaba wa dawa na vifaatiba kwenye hospitali, zahanati na vituo mbalimbali vya afya zikiwemo za serikali hapa nchini. ni hali ambayo kwa kweli bado imekuwa ni changamoto kubwa kwenye...
Hapa Mbezi Luis Stendi barabara ya kwenda Kinyerezi ilivyojaa msongamano wa machinga na bidhaa zao ambazo ziko kando ya barabara na kusababisha barabara kuzidi kuwa finyu licha ya wembamba wake tangu kutengenezwa, siku dereva yoyote akishindwa kulimudu gari likaenda pembeni litaua watu wengi...
MBUNGE KAMONGA APOKEA KILIO CHA LUMBESA MADILU JIMBO LA LUDEWA
Wananchi wa kata ya Madilu iliyopo Wilayani Ludewa Mkoani Njombe wamelalamikia vipimo vya viazi wanavyohitaji wanunuzi ambapo wamekuwa wakihitaji ujazo wa Lumbesa kitu ambacho kinawapa hasara wakulima hao.
Wakitoa malalamiko hayo...
Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo maalum? na ni lengo gani hasa yaani maswali ni mengi kuliko majibu,
Inafahamika wazi kabisa kwamba...
Tuko hapa tunapitia michango ya wananchi hasa hili la bandari.
Hapa TEC mambo ni moto sana.
Ninachojiluza, Iwapo Rais ataelewa mapigo ya wananchi ya kuachana na huo mpango na akafuata mpango ule wa Mbunge wa Kisesa - Mpina kama mambavyo inajadiliwa hapa TEC.
Je, Atarudisha tena Bungeni...
‘Large-scale’ Ukrainian offensive repelled – Russian MOD
Kiev’s troops have unsuccessfully attempted to break through the front line in Donbass, the Defense Ministry in Moscow has said
FILE PHOTO: Ukrainian soldiers on a tank ride along the road towards their positions in Donbass, May 23, 2023...
Ndugu zangu kwema?
Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote.
Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge
Pamoja na...
Katika ziara ya Chadema (Operation +255) huko mpanda, Kuna tukio limeniacha na majonzi sana. Mgombea udiwani wa Chadema 2020, mwanamama shupavu alimwaga chozi akikumbuka ukatili wa JPM.
Mgombea huyu aliwekewa pingamizi so hakufanya kampeni muda mrefu, kama haitoshi aliposhinda udiwani (Fomu za...
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari...
Mkuu Mkoa wa Pwani Mhe. Alhaj Aboubakar Kunenge, akizungumza na abiria kwenye Kituo Kikuu cha Mbasi Kibaha Mei 2, 2023.
WANANCHI wanaotumia usafiri wa mabasi ya Mwendo Kasi (DART) kwenye Kiituo Kikuu cha mabasi Kibaha Mkoani Pwani, (Kibaha Bus Terminal) wametoa malalamiko yao kwa Mkuu Mkoa wa...
BOMOA BOMOA YA MAKAZI
KILIO CHA WATANZANIA
Utangulizi
Bomoa bomoa ya makazi imekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania. jambo ambalo limesababisha adhali nyingi sana kwa wananchi na kupelekea wengi wao kukosa makazi kwa kubomolewa makazi yao na kuangukia kwenye umaskini wa kupindukia...
Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
Unapokuwa na safari yako ambayo inahusisha Barabara ya Mandela Mkoa wa Dar es Salaam, kubali kubadili ratiba zako kwani lazima utakwazika tu.
Barabara imekuwa bize kupita maelezo ikipitisha malori, gari binafsi na gari za abiria.
Kero zaidi ambayo pia inachangia uwepo wa foleni ni asubuhi na...
Sukuzaliwa kwenye familia ya kitajiri, wala familia yetu haikuwa fukara. Baba yangu alikuwa ni mhandisi wa mitambo, na mama yangu alikuwa ni katibu mukhtasi ofisi ya mkuu wa mkoa.
Nilisoma hadi cha sita, sikutaka kuendelea na chuo licha ya kwamba nilipata ufaulu wa daraja la pili, wengi...
Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia.
Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole.
Anadai Chadema wamepita jimboni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.