Siku Moja katika pita pita zangu nlikutana na Jamaa mmoja anitwa NHIF ,huyu jamaa ni mdau mkubwa sana wa Afya kwa kifupi ni kajitolea kuwatunzia pesa zao Watu kwa Ajiri ya Matibabu yao baadae .
Wakati napita alikuwa mlangoni nlimsikia akilia kwa Nguvu sana akisema Ooh God ,thank you for another...
Hiki ni kisa cha kusikiktisha sana. Mtoto Jason alimuona baba yake akiumwa na hadi kifo. Baba yake alikuwa mmoja wa wahanga wengi wa jumuia iliyokuwa na ugonjwa wa :Haemophilia, muathirirka wa janga hili huwa na uwezo hafifu wa damu kuganda.
Kufuatia hali hii, wahanga walikuwa wakiongezewa damu...
Sumatra-Tabora
Takribani miezi mitatu iliyopita Bus la Hokas lilianza safari zake za Loya kwenda Tabora na kuleta ushindani wa kibiashara KWA mmiliki wa Bus la Mama's one na kufikia hatua ya kushusha nauli kutoka 12000/= Hadi 8000,10000 na 7000/= wananchi walifurahia ushindani huo na kushuka...
Wasikilize…
Wenyeviti wa Vijiji huko Ngorongoro wamesema walipewa muda mdogo kusikilizwa na waziri Mkuu katika Mkutano. Na wamesema hawajakubaliana kuondoka eneo hilo kama ilivyoonekana kwa baadhi ya watu ambao walionesha kuwa tayari kuondoka katika hifadhi hiyo.
===================...
Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi.
Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
Mbunge wa Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa akilia baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha makadikio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Jijini Dodoma leo.
Silaa amemwaga machozi akieleza kuwa Kampuni ya Syno Hydro iliyopewa zabuni ya...
Walikutana Ben na Rose shuleni wakiwa wote wamefaulu darasa la saba. Licha ya uwanafunzi Ben alikua na kipaji cha kuimba na kupiga gitaa. Weekends alitumbuiza kwenye bar na pia alialikwa kwenye maharusi. Kwa kifupi wote Ben na Rose hawakutoka katika familia zenye uwezo.
Mama yake Rose...
Yale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo junction ya kuingilia Lugalo.
---
Pia soma
- Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?
Kumekuwa na kilio cha muda mrefu cha kuzorota kwa hali ya kibinadamu huko Tigray, Kaskazini mwa Ethiopia.
Hali ya vita inasemekana kusababisha vifo, njaa na hata miundombinu msingi kama umeme, barabara na majengo.
Kwa hali inayoripotiwa na viongozi wa Tigray, Jamii ya Kimataifa haijachukua...
[emoji725][emoji725][emoji725][emoji725]
Leo tuangukie Sita kwa sita !! ..ni ndefu ila maliza ,ikuongezee kitu,
Huko nyuma niliwah andika uzi namna gani ya kua na uwezo wa kuhimili tendo zaidi ya dakika 30+, jinsi gan ya kufanya uume uwe ngangari Unaposimama, jinsi gan uwe na uwezo wa kurudia...
Kilio chetu kwa serikali yetu sikivu yenye kupenda maendeleo hapa kwetu geita miaka kadhaa iliyopita kulikuwa kuna ujenzi tulioambiwa ni WA chuo cha veta ambao ulikuwa ukiendelea ulikuja kusimama mpk sasa ni muda sana majengo yanabaki magofu pesa za serikali zishatumika mpk pale ilipo fika...
MIAKA 20 KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE MOSES NNAUYE NA KILIO CHA KUPEWA MTAA
Tumeshuhudia mambo mengi sana katika Mwaka uliomalizika wa 2021 yapo mambo mengi lakini yaliyotikisa ni mambo ya Kisiasa, Tulishuhudia katika Tasnia ya siasa za (Chama Tawala, chama cha Mapinduzi) na za baadhi ya...
Hivi kweli kipande Cha sabuni enzi za Kikwete kilipanda kikafika shilingi Mia, eti juzi kwa utawala wako kimefikia shilingi 300/; nakumbuka mtungi wa Gesi ulikuwa kama sio 25000/; ulikuwa 30000/:leo hii kweli kutoka 45000/; mpaka 60000 serikali Iko kimya?
Kilo moja ya sukari ni 2800/: kabisa...
Baadhi ya wanaume mkoani Shinyanga wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa na kupigwa na wake zao.
Hayo wameyasema Jumanne Desemba 7, 2021 wakati wakipewa elimu ya ukatili wa kijinsia na dawati la jinsia la polisi katika stendi ya mabasi wilayani Shinyanga...
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.
Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura Namba 129 ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi katika Vyuo ambavyo si Vyuo Vikuu ama Vyuo Vikuu Vishiriki nchini. Jukumu mojawapo la Baraza ni kuhakikisha kuwa mafunzo...
Duniani hakuishi vituko
Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi
Jionee video mwenyewe
Kila Mahali wananchi wanaendelea kulia bila Msaada wa viongozi kuhusu kukoswa huduma ya Tanesco kama.
1) kukoswa huduma ya surveyor
2) zaidi ya wananchi 210000 walio lipia huduma ya kuunganishiwa umeme , Hawajaunganishiwa kwa sababu ya upungufu wa meter,nyaya na watu wakuunganisha umeme.
3)...
WANANCHI WA MWASONGA WAMTAKA NDUGULILE KUFUATILIA KILIO CHA BARABARA YA LAMI YA KIBADA-MWASONGA
Wakazi wa Mwasonga leo tarehe 2 Oktoba 2021 wamefanya kikao na Mbunge wa Kigamboni Mhe. Faustine Ndugulile (Mb) kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali za eneo hilo ikiwa ni pamoja na umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.