Habari ya kazi! Pole na majukumu.Mi nina dukuduku ambalo linasumbua watu wengi hasa watu wanaohitaji huduma hasa mafao Ya Uzazi.
Tatizo lililopo ofisini kwako hapo ni kwamba kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa watumishi wa umma wanapokuwa wanafuatilia mafao yao hasa ya uzazi kuanzia kwenye upokeaji...