kilo

Kilo is a decimal unit prefix in the metric system denoting multiplication by one thousand (103). It is used in the International System of Units, where it has the symbol k, in lower case.
The prefix kilo is derived from the Greek word χίλιοι (chilioi), meaning "thousand". It was originally adopted by Antoine Lavoisier's research group in 1795, and introduced into the metric system in France with its establishment in 1799.
In 19th century English it was sometimes spelled chilio, in line with a puristic opinion by Thomas Young.

View More On Wikipedia.org
  1. MSAGA SUMU

    Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

    Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa. Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo...
  2. saidoo25

    Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora. Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
  3. BARD AI

    Kilo moja ya Vitunguu yafikia Tsh. 30,221 Ufilipino

    Ufilipino inatazamia kuagiza vitunguu kutoka nje kwa ajili ya kuongeza usambazaji na kupunguza bei ya juu ambayo imechangia mfumuko wa bei wa miaka 14. Bei za reja reja za vitunguu vyekundu zimepanda hadi kufikia Tsh. 29,654 kwa kilo katika siku za hivi karibuni katika masoko ya Manila, bei...
  4. The Burning Spear

    Mchele kilo Tsh. 3500, kweli?

    Najaribu tu kuwaza Kwa sauti. Nashindwa kuelewa hapa nipo Tanzania kweli au naota.
  5. Notorious thug

    Mfahamu Hemry Ozoemena Ugwuanyi, Raia wa Nigeria aliyekamatwa na kilo 15 za Heroine

    Hemry Ozoemena Ugwuanyi(Marehemu) huyu bwana alikua anaishi hapa nchini toka 2017 alikua anaendesha kanisa lake ila nyuma ya Pazia alikua muuzaji mkubwa wa Madawa ya kulevya alikua anaishi mtaa wa Pemba Kariakoo. Kukamatwa kwake Linda Mazule Raia wa Latvia alikamatwa Uwanja wa Ndege wa...
  6. JanguKamaJangu

    Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  7. Roving Journalist

    Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya yateketeza kilo 584.55 za dawa za kulevya

    Veronica Matikila akizungumza kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Nchini Tanzania (DCEA), Gerald Kusaya, amesema leo Disemba 21, 2022 wameteketeza kilo 584.55 za dawa za kulevya zinazojumuisha kilo 569.25 za Heroin, Cocaine kilo 15.3 na Tani...
  8. Roving Journalist

    Dar: Watu watatu Wakamatwa wakiwa na kilo 15.19 za dawa za kulevya aina ya Heroin

    Washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo Tuangoma wakamatwa na kilo 15 za dawa za kulevya aina ya heroin. Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imewakamata watuhumiwa watatu ambao ni washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo...
  9. G

    Nanunua Vanilla kuanzia kilo 200 grade one, mzigo uwe DSM

    Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, kama unauza vanilla grade one (kuanzia sentimita 13 na kuendelea) njoo PM kwa mazungumzo zaidi. Iwe Dar es Salaam..... Call/Whatsapp: 0710535327
  10. A

    Unga kiroba kilo 25 ni shilingi 42000

    Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje? Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
  11. JanguKamaJangu

    India: Polisi walaumu panya kula Kilo 200 za bangi zilizotakiwa kutumia kama ushahidi

    Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi. Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
  12. Jidu La Mabambasi

    Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

    Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania. Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba). Hii ni syndicate. Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha...
  13. BARD AI

    Mtwara: Watu 151 wamekamatwa na kilo 82 za Bangi, lita 1915 za Gongo

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP Nicodemus Katembo amesema watu 4 kati yao walikutwa na Nyama ya Tandala kilo 21, Nyama ya Swala kilo 50 na Pembe za Ndovu vipande 4. Pia, watuhumiwa walikutwa na mitambo 10 ya PombeHaramu, Televisheni 7, Jenereta 1, Kiyoyozi 1, Godoro 1, Mbao Asili 76, Majiko...
  14. JF Member

    Bei kwa Kilo Moja. Mchele 3,500, Maharage 3,800

    Juzi nimelejea toka huko majuu niliko Kaa mda wa mwezi hivi. Niliacha Mchele ukiwa 2,800 kwa kilo. Mda huu niko dukani Bei ndio hizo hapo juu. Hii nchi hadi tufike January 2023 ambapo wakulima wataanza kuvuna tena tutakuwa tumechoka sana.
  15. Kaka Ibrah

    Bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam

    Habarini wanajukwaa? Nilikuwa naomba kufahamu bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam na ikoje pia Nairobi Kenya? Shukrani.
  16. BARD AI

    Serikali: Bei ya Mchele imefikia Tsh. 3,500, Maharage 3,500, Mahindi 1,500 kwa kilo

    Serikali imetangaza ongezeko la bei katika baadhi ya bidhaa za vyakula, huku kushuka kwa uzalishaji ikitajwa kuwa sababu. Miongoni mwa bidhaa za chakula zilizopanda bei katika mwaka ulioishia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na mwaka ulioishia Agosti mwaka huu ni mchele, maharage, mahindi...
  17. BARD AI

    Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
  18. ommytk

    Kilo ya dagaa yaipiku ya nyama kwa sasa bongo

    Kweli hii vita hatari sana Jana nimeenda kununua dagaa Bukoba kilo moja ni Tsh 11,000 na nikaenda buchani kununua nyama ni 8000 nikastajaabu jinsi dagaa zilivyokuwa ni chakula cha mtu wa chini kwa kipato now azishikiki yaaani sasa nyama ni chakula cha mtu wa chini dagaa matawi ya juu mambo...
  19. Shy land

    Mtoto wangu kazaliwa na kilo 6 na tatizo la mdomo sungura

    Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo la kuweza moja...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Nimeamua kumpeleka Shemeji yangu Mahakamani!

    NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI Anaandika, Robert Heriel. Haki lazima ikatendeke! Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...
Back
Top Bottom