Serikali imetangaza bei ya ukomo ya Sukari kwa rejareja katika Mikoa yote nchini, ambapo kwa Dar es Salaam itauzwa kwa Shilingi 2,600 kwa Kg 1, Mbeya 3,000, Mwanza, Dodoma na Shinyanga 2,900, Kigoma 3,200, Arusha na Kilimanjaro ni 2,700, Kagera na Mara ni 3,000.
Aidha kwa Mikoa ya Lindi na...