kilosa

Kilosa (Kilossa) is a city in the Morogoro Region of Tanzania, East Africa. It is the administrative seat for Kilosa District. As of 2002, the population of the town was 26,060.

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

    Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe...
  2. Pre GE2025 Wilaya ya Kilosa yaanzisha jitihada kufufua uwanja wa Ndege wa Tende

    Wilaya ya Kilosa imeanzisha jitihada za kufufua uwanja wa ndege wa Tende uliopo katika wilaya hiyo mkoani Morogoro, ambao ulipoteza umaarufu wake kwa kipindi cha miaka 30 kutokana na miundombinu isiyofaa. Mkuu wa Wilaya, Shaka Hamdu Shaka, amesema kwamba Serikali imetayarisha mradi huu ili...
  3. A

    KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa. Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
  4. KERO Tatizo la umeme wilaya ya Kilosa

    Hii sasa imekuwa too much wananzengo Yani katika wiki Moja kupata umeme wa uhakika labda ni siku tatu! "what a shame to authority" Jamani mnaohusika oneni aibu hii sio sawa kabisa mnazingua sana
  5. Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

    Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.." Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu...
  6. LGE2024 DED Kilosa: CHADEMA walikwamisha Uchaguzi Ruaha jana

    Wakuu, Imeelezwa kuwa sababu zilizopelekea kata ya Ruaha, jimbo la Mikumi, mkoani Morogoro yenye vijiji vinne (4) na vitongoji 21 kushindwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa hapo jana, Novemba 27.2024 badala yake kufanyika leo, Alhamisi Novemba 28.2024 ni kutokana na vurugu zilizoanzishwa...
  7. LGE2024 CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa

    Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba kila kitu kinakwenda sawa na kufuata kanuni, sheria na taratibu za kiuchaguzi, sasa hizi ni namba za...
  8. LGE2024 Morogoro: Msimamizi wa Uchaguzi Kilosa amjibu Joseph Haule (Prof. Jay) kuhusu Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa

    Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa. Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  9. LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka. Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika" Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
  10. Morogoro: Watuhumiwa Watano wa makosa ya mauaji Wilayani Kilosa wakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya mauaji ambayo yametokea katika wilaya ya Kilombero na Kilosa kati ya Mei 26, 2024 na Juni 2, 2024...
  11. TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili. Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana. Mungu amlaze mahali pema...
  12. Pre GE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
  13. J

    Kimeumana DC Shaka ageuka mbogo ujenzi wa ICU hospitali ya wilaya Kilosa

    KIMEUMANA DC SHAKA AGEUKA MBOGO UJENZI WA ICU HOSPITALI YA WILAYA KILOSA Na Mwandishi Wetu. Kilosa -Morogoro MKUU wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya Wilaya hiyo...
  14. Barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kupandishwa hadhi kuwa Barabara Kuu “TRUNK ROAD”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  15. J

    Barabara Ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe Kupandishwa Hadhi Kuwa Barabara Kuu “trunk Road”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  16. N

    Naombeni taarifa za UVUMI kilosa

    Habari wakuu,natumaini jumapili imekaa vyema kwenu. Sasa ndugu zangu nimekuja kwenu tena,nina shida ya kupajua vyema UVUMI morogoro,naomba kwa anayepajua vyema atupe taarifa za muhimu,maana nataka niende huku kulima,sasa nataka kujua mazao gani yanatoka sana,maisha ya huko,chumba bei gani?? Na...
  17. Kilosa: Watumia punda na machela kusafirishia wagonjwa kisa hakuna barabara

    Watu wa Mjini Huwa wanadhani Kila sehemu ya Nchi hii maisha ni simple kama kwao. Hii ndio Hali halisi ya sehemu kubwa ya Tanzania japo Serikali inajitajidi sana kuweka Juhudi but kazi inatakiwa kuongezeka zaidi. ===== Wakazi wa Kata ya Uleling’ombe wilayani Kilosa mkoani Morogoro...
  18. Kampeni za Uchaguzi wa Diwani Kata ya Magubike Kilosa

    MBUNGE NORAH MZERU ASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA MAGUBIKE WILAYA YA KILOSA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa Diwani Kata ya Magubike Wilaya ya Kilosa. "Nimesimama hapa kumuombea...
  19. Wafugaji Wilaya ya Mvomero wahamishia Minada yote Wilaya ya Kilosa

    WAFUGAJI wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameamua kuhamishia minada ya mifugo katika wilaya zilizo karibu na wilaya hiyo kutokana na sintofahamu iliyoibuka hivi karibuni. Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti, wafugaji hao walieleza kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Mkuu wa Wilaya ambaye...
  20. S

    Kilimo cha miwa Kilosa

    Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kikazi, nimepatwa na wazo la kulima miwa pale Kilosa kwa ajili ya kuuzia kiwanda cha Mkulazi kwa ajili ya kutengeneza sukari. Nimepata shamba la heka sitini ambalo nina mpango wa kulinunua, nakuja kwenu kujua kama kuna mtu aliyewahi kulima au kusikia juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…