Kilosa (Kilossa) is a city in the Morogoro Region of Tanzania, East Africa. It is the administrative seat for Kilosa District. As of 2002, the population of the town was 26,060.
Sisi wakazi wa Kijiji Kilosa Mpepo, Tarafa ya Ngilangwa, Wilaya Malinyi Mkoa Morogoro tunachangamoto tunaomba msaada wa Serikali.
Serikali itusaidie kuhusu Tembo wanatumalizia mazao, kwa usiku mmoja wanaweza kula hekari zaidi ya 15, tumehangaika hadi ofisi za Wilayani, TANAPA wamekuja kama...
Musa Madirisha Kaswahili, Mhandisi Mwandamizi, Msimamizi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, TANROADS Morogoro anaelezea hatua iliyofikiwa katika Mradi wa Ludewa - Kilosa (Kilometa 24) Mkoani Morogoro umefika katika 90%.
Amesema kazi inayoendelea kwa sasa ni kunyanyua tuta la barabara na kuweka...
Heshima kwenu wanabodi, kama heading inavyojieleza nina malengo ya kwenda kulima vitunguu Kilosa mwaka huu ila sina mwenyewe was kunipa ABC za huko kuhusu hichi kilimo, ikiwemo wakati sahihi was kuanza kilimo, upatikanaji wa mashamba na gharama zake na vijana wasaidizi. Msaada wanabodi
Mkuu mpya wa Wilaya ya Kilosa Mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka leo akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, amefanya kikao kazi na viongozi wa Jeshi la Polisi.
Viongozi hao wa Jeshi la Polisi waliongozwa na ACP Hassan Maya, Afisa Mnadhimu wa Polisi, Mkoa Morogoro, Mkuu wa Polisi...
SERIKALI imetenga Sh milioni 757 kumalizia ujenzi wa gereza jipya linalojengwa wilayani Kilosa ,mkoani Morogoro baada ya gereza la zamani kupitiwa na Reli ya kisasa (SGR).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni alisema hayo Februari 20,2023 kwenye mkutano wa hadhara...
Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili.
Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua...
Habari wakuu JF!
Iko hivi;
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayepinga kuwa katika awamu ya sita kumefanyika ujenzi wa shule, hospitali, zahanati, vituo vya afya miundombinu ya hali ya juu kuliko awamu zote.
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayekataa kuwa awamu ya sita imeleta...
Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaji Majid Mwanga ameliagiza jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani humo kuweka utaratibu wa kuyakagua magari yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi maarifu kama IT na kuwachukulia hatua madereva wanaobeba abiria katika magari hayo.
Mwanga ambaye ni...
MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI.
Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba yupo hapo kwenye uongozi siyo kwa nia ya kusaidia wananchi anaowaongoza bali ni kwa ajili ya kujilinda...
Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa.
Mimi ningekuwa yeye...
CCM YATIA NENO. MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS SAMIA KILOSA
Shaka asema uamuzi huo ni wa kihistoria, umegusa maslahi ya wananchi
Na Mwandishi Wetu Kilosa
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevunja ukimya baada ya Rais Samia Suluhu Hassan...
RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA ,ASISITIZA YATUMIKE KWA AJILI YA KILIMO.
Na Mwandishi wetu...
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia...
Hivi karibuni imeelezwa kuwa barabara ya Dumila Kilosa imetiwa lami katika kipande cha kilomita 20+ zilizokuwa zimebaki kutoka Rudewa hadi mjini Kilosa, kabla ya kukamiilika kwa barabara hiyo nauli ya Dumila Kilosa Km 65 ilikuwa ni Sh 5000, na sasa bado nauli ni hiyohiyo pamoja na njia kuwa lami...
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha madhara kwa kuharibu miundombinu ya reli ya kati na barabara ambapo daraja la Kidete Wilaya ya Kilosa limekatika na kusababisha treni kusimamisha safari zake.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Majid Mwanga amefika eneo la tukio na...
Habri za Mchana Wakuu,
Majuzi nilipokuwa safarini katika vijiji vya Maluwi na Tindiga vilivyopo wilayani Kilosa mkaoni Morogoro nilkuta jambo ambalo sikutegemea kulikuta.
Ni kwamba tangu tupate uhuru, vijiji hivyo havijawahi kupata umeme. Nimekuta rundo la nguzo za umeme zikiwa zimemwagwa...
Nimekutana na mdau anasema Serikali ina mpango wa kukwepesha barabara ya Morogoro - Mikumi ipite Kilosa ili kuwanusuru wanyama mbugani.
Ukitazama ramani inaonekana umbali wa kutoka Morogoro kupitia Dumila au Kimamba ni mbali hivyo itaongeza gharama za ujenzi na matumizi ya nishati kwa wenye...
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021.
Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam
#KaziInaendelea
#ChamaImaraSerikaliImara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.