kim kardashian

  1. BARD AI

    Kanye West kumlipa Kim Kardashian Tsh. Milioni 466.6 kila mwezi kwa matunzo ya watoto

    Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao. Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi kama gharama za matunzo ya watoto na pia watashiriki malezi ya pamoja ya watoto wao wanne -- North...
  2. Nyendo

    Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West yavunjika rasmi

    Kim Kardashian hatimaye ametalakiana rasmi na mume wake YE aliyejulikana kama Kanye West baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka minane. Katika uamuzi wa mahakama uliotolewa kupitia njia ya video nyota huyo pia ameondoa jina la West kutoka katika jina lake la Kim Kardashian West na kuwa Kim...
  3. Lady Whistledown

    Kylie Jenner confirms she is expecting second baby with rapper Travis Scott

    Kylie Jenner has confirmed she is expecting her second child with rapper Travis Scott following weeks of speculation. The reality TV star and make-up mogul announced the news with a 90-second Instagram video featuring the moment she discovered she was pregnant. Jenner and Scott, a...
  4. MSAGA SUMU

    Lemutuz kavuta jiko, mtoto mkali yaani Kim Kardashian huyu hapa kabisa

    Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa. Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo...
  5. Numbisa

    Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

    Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian yapumulia mashine na kutaka kutalakiana. Kwa mujibu wa media za Marekani kwa muda Sasa ndoa yao Haina afya nzuri na ilidhoofu kwa kiasi kikubwa mwaka 2020 ambapo mastaa hao wamekuwa wakiishi Kila mtu kwake huku Kim akiwa na watoto Kwa mujibu wa taarifa Kim...
Back
Top Bottom