Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
Nitataja mambo kadhaa
1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la maji mikoa kadhaa yenye shida ya maji. They don't care
2. Baada ya zoezi la sensa meseji zinazotumwa...
Wana JF.
Katika pita pita zangu nimeweza kudadisi kudadisi ni kwanini kumeibuka ujenzi wa kasi namna hii iliyopo hasa maeneo ya kanda ya ziwa hususani Kagera na Geita. Ningeweza kusema Kagera tu lakini kile kipande kilichochotwa na kupeleka Geita kimebadili stori.
Kwanini mchwa ndio chanzo...
Nimesoma hii habari kuwa Tanzania ni nchi ya pili katika kuamini ushirikina nikashtuka sana. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba hata mikoa inayoaminika kwa ushirikina haina maendeleo kivile mikoa hiyo ni pamoja na Kigoma, Sumbawanga nk!!
Yaani mtu anaamnini katika mizimu kwamba inaweza...
Uchafu ni maudhui, matendo au mata inayopatikana mahali pasipotakiwa kwa wakati usiotakiwa.
Hatuwezi kutenganisha maendeleo na usafi au mpangilio wa kila kitu, kila siku katika mambo yote yanayotuzunguka.
Uchafu katika nchi yetu sio jambo geni kabisa maana uchafu upo kila mahala. Uchafu...
Sikiliza Mtani.
Masikhara tuyaweke pembeni, ila kuhusu huyu mwanadada nakushauri apewe rikizo ndefu tena isiyo na maelezo ya atarudi lini. Niliwahi kuzungumza hapa jukwaani.
katika dunia ya sasa utapigiwa makofi lukuki pale utakapo jaribu kuzingatia sana usawa wa kijinsia pasipo kuweka...
"Leo wananchi wanahamishwa, unapelekwa eneo unajengewa nyumba, unakuta hospitali, shule, unapewa hati ya nyumba, mimi naomba leo nitangaze rasmi naitwa Ole Kishoa ili nipelekwe kule na mimi nikapewe nyumba ya bure kabisa" - Jesca Kishoa, Mbunge Viti Maalum.
Chanzo: EastAfricaTV
Huwa napenda...
Kazi yangu kubwa leo katika huu Uzi ni kusoma tu Maoni ( Comments ) za JamiiForums Great Thinkers (Werevu ) ili nami nijue na nijifunze mengi kisha nije kuwa kama nyie.
Karibuni nikitumai na walioko Washington sasa ikiwa ni saa 6 ikienda saa 7 za Usiku kama bado hawajalala watapata nafasi ya...
Hayati JKN siwezi kumlaumu sana maana wakati akitawala enzi hizo nchi nyingi zilikuwa bado hazijajitambua na mkono wa mataifa ya nje ulididimiza mataifa ya kiafrika.
Chukulia tu kwa awamu tatu zilizopita kila moja ingethubuti kutekeleza miradi mikakati mikubwa ya maana ya kimaendeleo leo...
Tanzania, kwa historia yake, rasilimali zake (watu na mali) na amani yake ingekuwa moja ya nchi tano Afrika zinazoongoza. Lakini kiuhalisia, inashindwa mbali na vinchi kama Senegal, Cote d'Ivoire, Botswana, Ghana. Ingawaje tuna GDP kubwa kuliko nchi hizo.
Hakuna mchawi, isipokuwa tumeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.