kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

    Haina haja ya salamu watu tupo busy. Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni Daktari Hosp moja kubwa hapa nchini. kisha akafanikiwa kuanzisha Disp yake. Ni mdada mrembo na...
  2. T

    Hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyeolewa isipokuwa mwanamke huyo amempa ishara kwamba yuko tayari

    Hakunaga mwanamke anaecheat kwa bahati mbaya wote huwa wamedhamiria,thus ukimsamehe ataendelea tu kucheat kwa sababu wao utanguliza nyege mbele akili nyuma,wakishachika ukimbilia kwa mwamposa kukanyaga mafuta ya urejesho wa mume. Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi...
  3. kwisha

    Urefu na ufupi katika mahusiano ya kimapenzi

    Katika jamii yetu ya leo, kumekuwa na mitindo na vigezo vya kipekee vinavyoshinikiza wanawake kuchagua wapenzi kulingana na vipengele kama urefu. Katika mazungumzo mengi, utakuta wanawake wengi wakisema wanapenda wanaume warefu, huku wengine wakiona kuwa wanaume wafupi hawawezi kutoa kile...
  4. I

    Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

    Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali) Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa...
  5. Jobless_Billionaire

    Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

    Wakuu habari zenu. Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia...
  6. Tman900

    Uhusiano wa Kimapenzi au Ndoa.

    2024 Wanawake kama Wajasiria mwili tu, wao wanalenga Faida watakazo zipata mara Baada ya mwanaume kumtongoza.
  7. P

    Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Wakuu natumaini wote mpo salama na mnaendelea vyema kusherekea sikukuu hizi Dah, kwa upande wangu mimi sipo sawa kabisa hapa najiona mkosefu sana na sijui hata jamii itanielewa vipi, nimekuja huku naamini kuna wakubwa na watu wenye busara naweza pata ushauri.. Nayopitia kwa sasa na jinsi...
  8. T

    Nayageuza vipi mahusiano ya kawaida kuwa Mahusiano ya kimapenzi

    Wakuu Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani. Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili. Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau wengine pia Asante
  9. haszu

    Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
  10. comrade_kipepe

    Wanawake wa mjini hawaridhishwi kimapenzi, vijana kuweni makini

    Wadada WA mjini, Wana mambo mengi, akilalamika humridhishi achana nae HUWEZI kuridhisha, wapo wanatumia Tango, chupa ya bia, carrot 🥕 na kwa sasa wamehama kwenye kibomba.
  11. Yoda

    Kwa nini vijana wakitoka kimapenzi na mishangazi inachukuliwa na kulelewa?

    Kwa nini vijana wadogo wakitoka kimahusiano na wamama watu wazima(mishangazi) au hata wakioana nao kabisa inachukuliwa kama wanalelewa na maneneo yanakuwa mengi sana wakati mabinti wadogo wakitoka au kuolewa na wazee inaonekana ni mahusiano ya kawaida tu? Haya yote si mapenzi tu kila mtu na...
  12. bahati93

    Kilichowapata wanamziki wa kike waliotoka kimapenzi na maboss zao.

    Mambo yanatishaa sanaa, Yaani ukikaa ukafuatilia matokeo hasi waliyokumbana nayo wanadada utabaki mdomo wazi, kama malaya kaona dudu. Hapa nazungumzia mahusiano ya kimapenzi baina ya mabinti chipukizi katika fani na mabosi zao. Wanabodii mifanoo ni mingi.. kwa leo ntatoa miwili tuu. Celine...
  13. Pearce

    Jinsi Huyu Dada alivyonikataa Kimapenzi

    Wakuu Habari zenu. Nina kisa hiki siwezi kisahau muda mwingine nikikumbuka nacheka. Kuna Manzi mmoja ofisini tulikuwa idara tofauti katika tasisi moja muhimu Dar es salaam Basi nilivutiwa nae nikawa nampenda sana na nilijitahidi kila ambacho angekitaka Urahis kwake kazini nampambania, aliwahi...
  14. BICHWA KOMWE -

    Licha ya Kibamia, eti ameoa! Uchawi wa kimapenzi

    Naongea na wewe kaka tuliyekutana Katoro enzi za usichana wangu! Mbona ghafla sana? (GaFRA mno). Nakujua vema ndani na nje, na tulipokutana ukaniahidi utaenda CHINA kupasuliwa kojoleo ili walinenepeshe kwa mbolea za kisasa. Show zako zilikuwa za kitoto sana, nikikohoa inachomoka. Nilikuwa...
  15. BARD AI

    Wimbi la ndugu wa damu kuhusiana kimapenzi linaongezeka au uwazi umeongezeka?

    Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea kushika kasi kwenye jamii. Hii inahusisha ndugu wa damu, ndugu wa familia au ukoo na hata baba na...
  16. GENTAMYCINE

    Wanaume Wema na Watiifu katika Mahusiano yao ndiyo huteswa zaidi Kimapenzi na Wanawake

    Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano. Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili...
  17. M

    Mahusiano ya kimapenzi bila pesa hayawezekani?

    Mahusiano ya kimapenzi kwa sasa kama huna pesa mwanamke atakutesa Sana Atakudharau nainawezekana akakuacha kabisa au kukawa na migogoro isiyo isha.(wanaume tutafuteni pesa) Kama kuna mtu anabisha aje na hoja au kama una chakuongezea unaweza ongezea.
  18. realMamy

    Kwanini kuwa na mahusiano ya kimapenzi kazini mara nyingi huwa hakuepukiki?

    Nimekuwa nikisoma na kufuatilia baadhi ya visa vya kweli katika vitabu na mitandao ya kijamii vinavyohusu mahusiano na ndoa kuvunjika na moja ya sababu zinazosababisha kutokea hayo ni Mahali pa kazi. Wake kwa waume wamekuwa wakilalamika kuachwa na mtu wake kwa sababu ya mfanyakazi mwenzie...
  19. M

    Mahusiano ya kimapenzi yananitesa

    Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali. Ikaendaa yule jamaa akakaa muda...
  20. and 300

    Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

    Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa, 1. Lodge (30,000-50,000 TSH), 2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh), 3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2), 4. Uchakavu (50,000 TSH). Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game. NB: Kwa bajeti hii...
Back
Top Bottom