kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balqior

    Kwanini wadada wengi hampendagi kutuunganisha Kimapenzi, sisi wakaka na rafiki zenu wa kike?

    Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba...
  2. Mfilisiti

    Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

    Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale, Ila Ya Mungu mengi jamani" Also👇👇 Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila Liwezekanalo'' Status yako na mpenzi wako ipoje kwa sasa...
  3. BARD AI

    Ni kosa kisheria kumtaka mwanamke kimapenzi kwa kumlazimisha

    Katika kosa la bughudha ya kijinsia (Sexual harassment) Sheria inaeleza kwamba, mtu yeyote ambaye kwa dhamira atamshambulia, au atatumia nguvu kinyume cha sheria akambughudhi mtu mwingine kijinsia au kwa kutumia maneno au vitendo na kusababisha maudhi au bughudha kijinsia kwa mtu mwingine...
  4. THE FIRST BORN

    Ulishawahi kupendwa kimapenzi na mpenzi wa rafiki yako wa damudamu?

    Habari wana jukwaa. Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu. Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu? Kama ilishatokea ulifanya vipi...
  5. NetMaster

    Confessions: Umewahi kupata hisia za kimapenzi ama kuwa katika mahusiano na ndugu yako?

    Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo. Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
  6. Frumence M Kyauke

    Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

    Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
  7. bahati93

    Wasanii wakianzisha mahusiano ya kimapenzi ndani ya kundi kuna hatari ya kundi lao kuvunjika

    Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi. Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member wengine walivyokuwa wakijisikia, yaani tupo kufanya kazi alafu nyinyi mnaleta mapenzi! Hili group la...
  8. JanguKamaJangu

    Masasi: Mfululizo mauaji ya kikatili kwa Wanawake, Polisi wataja wivu wa kimapenzi

    Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi. Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
  9. Roving Journalist

    Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa, kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kamba juu ya mti siku moja baadaye Mkoani Katavi...
  10. Mia saba

    Dalili gani utaziona kwa msichana ambaye hajavutiwa kuwa nawe kimahusiano ( kiurafiki + kimapenzi ) pale unapoanzisha mitongozo?

    Kujua kutasababisha kuokoa mda utakaosaidia katika kulijenga taifa. Utakuta umewekeza zaidi ya miezi miwili kwa mtoto wa mtu, mwisho wa siku ni kutokujibiwa text, kublokiwa, na kadhalika. Unakuwa umepoteza mda wako bure. Utajuaje hapa napoteza mda na huyu msichana ajavutiwa nami. Ukute men ni...
  11. Nicolaus Trac

    Elon Musk Akana Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Nicole Mke wa Mwanzilishi Wa Google

    Bilionea namba moja duniani, Elon Musk amekana uhusiano wowote na Nicole Shanahan, ambaye ni mke wa mwanzilishi wa Google, Sergey Brin. Kauli ya mmiliki huyo wa kampuni ya magari ya uneme ya Tesla, imekuja baada ya ripoti katika Jarida la Wall Street kieleza kwamba urafiki wa Musk na Brin...
  12. kilamba lamba

    Unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi?

    Habarini wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya kabisa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama kichwa cha habari kilivyosema. Wewe kama binadamu uliyekamilika kifikra na kihisia, unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi wa aina yoyote. Uwe wa text, kushuhudia kabisa au kwa kuambiwa. Ni swali...
  13. F

    Mwanamke ananitaka kimapenzi

    Habari za jioni ndugu zangu. Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio...
  14. MamaSamia2025

    Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
  15. Nyuki Mdogo

    Nimekata nusu mwaka sasa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi

    Baada ya kupiga hesabu ya kumiliki mwanamke nje ya ndoa nimeona kuna gharama kubwa sana zinazosababisha hela kupotea. Pesa ambazo ningezifanyia mambo ya msingi sana. Sasa Toka January nikaamua kukaa SINGLE KABISA. Miezi 6 sasa imekamilika. Sina Dem wala Girl yeyote wa kuniomba vocha, hela ya...
  16. winnerian

    Je, kumuonesha Mwanamke Uume kama njia ya kumvuta kimapenzi ni sahihi?

    Nimesikia na kusoma visa vingi vya wanaume kutanguliza picha au kuonesha uume kama kianzio cha kumvutia mwanamke. Je, ni kweli kuwa hii ni njia sahihi ambayo inamfanya mwanamke kupata ushawishi? Majibu tafadhali
  17. Nafaka

    Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

    Kuna kipindi kiko NatGeo channel 181 DSTV na pia Azam wanayo siko surr ni channel namba ngapi. Hiki kipindi ni mwanadada anakuwa anafuatilia biashara flani haramu to the source anazungumza na clients na wauzaji au wale victims, na watendaji wa uharamia. Ashahoji wauzaji madawa wa mexico, wezi...
  18. H

    Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni...
  19. K

    Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  20. sky soldier

    Kwanini wanaume wengi hawapendi marafiki zao kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada zao ?

    Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
Back
Top Bottom